Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 409
- 589
Wakuu habari za wakati huu.
Niwe wazi tu tangu nimemaliza chuo, maisha kwangu yamekuwa magumu, michongo niliyopata ilihitaji niwe na cheti bahati mbaya nina vimeo so hadi niviclear.
Nilivyomaliza home niliwajulisha kuwa nimemaliza na hakuna wa kuni-dis maana wengi wameishia form 4 waliosoma zaidi ni ndugu wa mbali kiasi hawawezi kuniuliza chochote bila kuwaambia.
Kuna muda nilikuwa napambana sana hakuna kazi nlibagua, ila kuna kipindi nikawa sina mchongo.
Katika harakati za kuomba mchongo nikapata mbili moja ni kumsaidia msela angu stationery nyingne ndo hii imenifanya niandike hii thread.