DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,520
WajumbeWanaobeti wakakosa huwa inaitwaje kwa lugha ya kimpira
WajumbeWanaobeti wakakosa huwa inaitwaje kwa lugha ya kimpira
Dah! Kumbe mashabiki wa simba mlianza muda mrefu kubet, halafu mwisho wa siku mikeka kuchanika!DUuuh kazi sana ingekua ndo nimebeti ningeliwa
Namaanisha kwenye ule ubashiri wa nani atakayefunga magoli mengi kati ya Mayele vs Kibu Denis, anguko la Yanga, nk.Mm sio mdau wa betting jirani...ndo maana hata hapa nilichemka
ahahaPenzi lao Halijafika mbali kama Uzi wako.