Natabiri: Luka Modric Mchezaji Bora wa Dunia 2017/2018

Saint Luca

IMG_20180716_112937_143.JPG
 
jamaa alitangazwa mchezaji bora hata kabla ya fainali (kwa wanaofatilia)
 
Watu washameza mchezaji bora wa FIFA lazima awe na magoli, mengi hawajui kuwa anacheza na wenzake ambao wanamfanya yy kuwa bora. Huyu Luka Modric anastahili kakidhi vigezo vyote, kuanzia yy mwenyewe binafsi (mchezaji bora wa mashindano ya FIFA World Cup), ngazi ya taifa (kaifikisha timu yake fainali ) na club yake ameiwezesha timu yake kuchukua UEFA.
 
Last edited:

Uko sahihi mkuu....na leo lazima achukue tuzo.....Modric anastahili
 
Mchezaji bora wa Ulaya Modric, Mcheji bora wa dunia Modric......

Anastahili
 
Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili.

3. Messi
2.Ronaldo
1.Modric

Bollon Dor for Modric
Hataimae Modric anaenda kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.

Baada ya miaka 10 ya kupokezana kwa Messi na Ronaldo hatimaye Modric anakuwa mwanadamu wa kwanza kujitokeza mbele ya mafahali hao wawili.

NB
Ronaldo amerhibitisha hatohudhuria hafla ya ugawaji wa tuzo hizo.

Screenshot_20180924-002858.jpeg
 
Back
Top Bottom