Awarudii kosa, mgombea ni lisuuMkuu, itashangaza kuamini kuwa Membe kajiondoa CCM.Itashangaza zaidi kusikia CHADEMA wanafikiria kumchukuwa huyo kachero mbobezi na hasa ukizingatia ina watia nia waliojitosheleza.
Kwani usalama wa taifa au usalama wa CCM kwahiyo akirudi CCM ndo amerudi usalama wa taifa mbona tuna mawazo mafupi sana kuona taifa ni sawa na CCM we unajua watu wangapi wanafanya kazi usalama wa taifa na wapo wapi? tuache hizi fikra kuwa usalama wa taifa ni CCM, Polisi CCM, jeshi ni CCM hivyo ni vyombo vya taifa sio vya CCM kuna viongozi wa hivyo vyombo wanakosa ueledi ndo maana unaona kama ni vyombo vya CCM ila sisi kama raia hatupaswi kutengeneza hii kasumba ya kuwamilikisha CCM inchi yetu na vyombo vyake, Membe apingwe kwa mengine sio eti kwasababu alikuwa afisa mwandamizi usalama wa taifa kazi aliyofanya kama raia mwengine yoyote kwani Marando karudi CCM.Ukisoma section 2 TISS Act Kuna kitu kinaitwa 'Active service' huyu jamaa ana kiapo cha usalama,wapinzani watachezeshwa akili pasipokujua jamaa yupo kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua maana ya chama dola usingesema hivo.Kwani usalama wa taifa au usalama wa CCM kwahiyo akirudi CCM ndo amerudi usalama wa taifa mbona tuna mawazo mafupi sana kuona taifa ni sawa na CCM we unajua watu wangapi wanafanya kazi usalama wa taifa na wapo wapi? tuache hizi fikra kuwa usalama wa taifa ni CCM, Polisi CCM, jeshi ni CCM hivyo ni vyombo vya taifa sio vya CCM kuna viongozi wa hivyo vyombo wanakosa ueledi ndo maana unaona kama ni vyombo vya CCM ila sisi kama raia hatupaswi kutengeneza hii kasumba ya kuwamilikisha CCM inchi yetu na vyombo vyake, Membe apingwe kwa mengine sio eti kwasababu alikuwa afisa mwandamizi usalama wa taifa kazi aliyofanya kama raia mwengine yoyote kwani Marando karudi CCM.
Maneno yakoyana hoja nzuri na yenye mashiko.Membe, hata kama italazimika upinzani kumpokea, ni sawa, lkn wawe makini sana wanapofanya naye siasa, kumbuka Membe ni Usalama tena mubobevu kama alivyo Mrema huwa hawasitaafu, akikosa anachokitafuta atarudi CCM kama kina Mrema, Lowassa, Sumaye na wengine wengi waliokuwa watumishi wa serikali.
Mkuu kwa Tanzania usalama wa taifa ndio huo huo usalama wa CCM.Kwani usalama wa taifa au usalama wa CCM kwahiyo akirudi CCM ndo amerudi usalama wa taifa mbona tuna mawazo mafupi sana kuona taifa ni sawa na CCM we unajua watu wangapi wanafanya kazi usalama wa taifa na wapo wapi? tuache hizi fikra kuwa usalama wa taifa ni CCM, Polisi CCM, jeshi ni CCM hivyo ni vyombo vya taifa sio vya CCM kuna viongozi wa hivyo vyombo wanakosa ueledi ndo maana unaona kama ni vyombo vya CCM ila sisi kama raia hatupaswi kutengeneza hii kasumba ya kuwamilikisha CCM inchi yetu na vyombo vyake, Membe apingwe kwa mengine sio eti kwasababu alikuwa afisa mwandamizi usalama wa taifa kazi aliyofanya kama raia mwengine yoyote kwani Marando karudi CCM.
Hakuna mtu anayekataa upinzani kusajili wanaccm hasa wenye ushawishi kama Membe, lkn tunatoa tahadhari tu kuwa wawe makini kwa sababu kuna matukio kama yake yameshatokea huko nyuma kwa wana CCM kujiunga na upinzani dkk za lalasalama kisha wakikosa wanachotafuta hurudi walikotoka.Maneno yakoyana hoja nzuri na yenye mashiko.
Hata hivyo siku hazifanani.
Membe kafukuzwa CCM pale alipoazimia kuchukua fomu kushindana na Jiwe.
Upinzani hatugombani na watu wa Usuingia upinzani, sisi tunatafuta Dola na tukishinda hatuwezi kuwaepuka polisi,Usalama na Majeshi .
Membe ni mtaji kwa Upinzani, akishinda kwa nguvu za ushawishi alionao na msaada wa wapinzani, Faida itakuwa kwa ngome ya Upinzani.
Akishindwa kama ilivyokuwa kwa Lowasa, bado upinzani utafaidi wingi wa kura za uraisi na kuonngeza Posho na wingi wa wabunge kwa kambi ya upinzani.
na yeye atabakia kuwa ni mwnachama wa kawida tuu hadi chaguzi za vya zitakapo kuja tena baada ya miaka 4 ijayo hivi .
Nothing to worry.
Lakini najuwa CCM wanaogopa kudondokea pua ndio maana wanaleta fitina za hapa na pale.