ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,586
Nasema ‘na iwe hivyo kwa sisi wenye imani kali na kuithamini Africa’Hiyo miji unatoitaja tayari itakuwa kama tunavyoitaja ROME ya zamani au Mongo Kingdom wakati huo huenda Africa ikawa ndio super power kaburi lako litakuwa halijulikani tena lakini dunia itakuwa mahali pazuri zaidi
Well said!