MbayaBangi ..
Kivipi mkuuJamaa katoka kule kuuliza kama yeye ni genius kaona haitoshi kaamua Kuja na mbwembwe nyingine
Huna lolote! Na ukiendelea hivi utakuja kuwa Sangoma au MpigaMadili.
AsanteMkuu uko vizuri!..
Mkuu jiongeze...!Katika Ono la Nne uwezekano almost ni hamna. Hakuna sayari ya Mars wala sayari nyingine yoyote ile hizi ni Fiction za wanasayansi na michoro ya photoshop ili ajenda zao zinyoone. Angani vitu vilivyopo ni Nyota, Jua, Mwezi, vimondo, maji na gesi. N
Nitafute kwa njia yoyote ile nikuulize kituAsante
Acha kumdanganya.Mkuu uko vizuri!..