Natabiri: Godwin Gondwe atakuwa mkuu wa Mkoa Dar baada ya uchaguzi

Hakuna wa kuziba pengo la Makonda

Rais anafanya Mkutano wa Kampeni Uwanja wa Taifa hakuna amsha amsha wala rabsha rabsha wala heka heka za kusimamisha Jiji

Angekuwa Makonda tungesikia mbwembwe
 
Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Ikiwa CCM itashinda uchaguzi huo jambo ambalo kila kukicha nafasi ya ushindi kwa CCM inapungua kwa asilimia nyingi

Now two weeks down to go !!! # NI YEYE TU 2020
 
Kama Magufuli kaweza kuwa Rais , unadhani ni mtanzania yupi mwingine atashindwa ? ongea ukweli tu usione aibu .
Tundu A. Lissu pekee ndiyo hawezi kuwa Rais wa nchi hii.

Kuna sababu nyingi na zenye kuaminika.

Hivi baada ya uchaguzi T. Lissu ataendelea kuwa katibu wenu hapo CHADEMA au ndio kanyaga twende.
 
Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Kijana yuko cool and collected.
Kwa kweli nimemkubali Godwin Gondwe.
Si kijana wa kupenda misifa wala show off.
Na tunamfahamu alikotokea -Habari.
Added advantage alikuwa mzee wa Kanisa hivyo hawezi shiriki criminal activity za kisiasa, kama yule nanihii!
 
Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Atapewa na Nani,huyo ni nafuu hats bashite,kwani amewasaliti hata wenzie wanaodhulumiwa kwa maslahi take.
 
Back
Top Bottom