Natabiri: Godwin Gondwe atakuwa mkuu wa Mkoa Dar baada ya uchaguzi

Kunenge anaenda wapi?,tatizo kunenge nae bana uadilifu umemzidi mno,,
Katika watu nisiowapenda kwanza kabisa,ni watu waadilifu..
 
Magufuli hashindi uchaguzi huu , ni vizuri ukajiandaa kisaikolojia
Kuna kushinda na kutangazwa...ni vitu viwili tofauti...binafsi natamani ccm itoke madarakani lakini nani aingie!?..lisu hana hadhi wala uwezo wa kuwa rais,baraza la mawaziri litakuaje!!?..yaani lema awe waziri!!?...wapinzani wangeungana wote pangekua na rasilimali watu wa kuendesha nchi
 
Lissu hawezi kumpa Gondwe ukuu wa Dar es Salaam. Hata hivyo utaratibu wa mikoa mwisho wake ni 28 Oktoba 2020. Muanze kuzoea. Tanzania ni yetu sote. Hakuna mtu aliyepewa yeye mwenyewe nchi hii. Ni ya Watanzania wote.

Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
 
Hakuna wa kuziba pengo la Makonda

Rais anafanya Mkutano wa Kampeni Uwanja wa Taifa hakuna amsha amsha wala rabsha rabsha wala heka heka za kusimamisha Jiji

Angekuwa Makonda tungeskia mbwembwe
Ukweli usemwe Makonda anauhamasishaji sana Jiji la Dar linahitaji hamsha hamsha sana huyu wa sasa kapoa au hata Agrey Mwanri angefaa
 
Back
Top Bottom