MiziziRoots
Member
- Dec 13, 2017
- 89
- 158
Yghggg
Siyo rahisi kwa sababu Lissu atateua mtu makini sanaNdo Basi Tena ushamwaribiwa. Jamaa huwa hapangiwi,
msisi wa msisiriSawa mtabiri tambitambi
Rais Tundu Liss hatochagua mamluki wa ccm kuwa wakuu wa mikoaBaada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Magufuli hashindi uchaguzi huu , ni vizuri ukajiandaa kisaikolojiaHuyo alikuwa rais wa TLS ikamshinda hahahahahaTAIFA kama hili atatuacha yatima tutunataka kazi ili kuleta maendeleo hatutaki harakati maana hazijengi zaidi ya kuumiza masikio
Rais Tundu Liss hatochagua mamluki wa ccm kuwa wakuu
Dunia inajua kuwa Rais wa Tanzania ni Magufuli tu.Rais Tundu Liss hatochagua mamluki wa ccm kuwa wakuu wa mikoa
Lissu akishinda naomba ieleweke kwamba itakuwa ngumu maendeleo kupatikana, hili kila mtu anajuaMagufuli hashindi uchaguzi huu , ni vizuri ukajiandaa kisaikolojia
amebakiwa na wiki 2 tu kuitwa RaisDunia inajua kuwa Rais wa Tanzania ni Magufuli tu.
Kama Magufuli kaweza kuwa Rais , unadhani ni mtanzania yupi mwingine atashindwa ? ongea ukweli tu usione aibu .Lissu akishinda naomba ieleweke kwamba itakuwa ngumu maendeleo kupatikana, hili kila mtu anajua
Tunataka utendaji siyo mbwembwe
Ikiwa CCM itashinda uchaguzi huo jambo ambalo kila kukicha nafasi ya ushindi kwa CCM inapungua kwa asilimia nyingiBaada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Lissu atateua Robert Amsterdam.Siyo rahisi kwa sababu Lissu atateua mtu makini sana
Unajua kazi ya mbunge? Tuanzie hapo kwanzaAtashindia wapi huyo pompoma ambaye hata ajui anataka nn hatutaki harakati bila utendaji kwanza atuambie alifanya nini kwa muda wote aliokuwa Singida kama mbunge
Tundu A. Lissu pekee ndiyo hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Kama Magufuli kaweza kuwa Rais , unadhani ni mtanzania yupi mwingine atashindwa ? ongea ukweli tu usione aibu .
Kijana yuko cool and collected.Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Atapewa na Nani,huyo ni nafuu hats bashite,kwani amewasaliti hata wenzie wanaodhulumiwa kwa maslahi take.Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua