Hamna jamaa..huyo ni doctor maarufu ata ukishukia nzuguni mwisho stand ya nanenane bodaboda wanamjuaafisa kipenyo ndio wanatumia mbinu hii....sendi
Hamna jamaa..huyo ni doctor maarufu ata ukishukia nzuguni mwisho stand ya nanenane bodaboda wanamjuaafisa kipenyo ndio wanatumia mbinu hii....sendi
Asante mtaalaamu kwa kuongezeaHuku mitaani mnatumia dawa bila kufanya vipimo kuhakiki kama kweli ni vidonda vya tumbo..kipimo pekee cha kuhakiki vidonda vya tumbo ni Endoscopy..ambapo mtaalamu atapitisha tube nyembamba mdomoni ikiwa na camera kwa mbele mpaka ifike kwenye utumbo mdogo..hiki kipimo ni ghali kidogo,kama huna bima andaa laki 3.
Lengo ni kuhakiki kama kweli client ana vidonda vya tumbo,na kama vipo vipo kwa uwingi gani na vina ukubwa gani.Acheni kutumia dawa za vidonda vya tumbo bila kufanya vipimo. Watu wengi wana H pylory ukiwapima stool,lakini unakuta hana dalili za vidonda vya tumbo..pia kuna watu wanapata Acid Reflux lakini hana vidonda vya tumbo.
Hivyo kipimo pekee cha ku verify vidonda vya tumbo ni Endoscopy.
Cc MENEMENE TEKERI NA PERESI
Usijaribu kutumia malimao ilihali una acid reflux, kuna watu wamepata acid reflux kwa kunywa malimao wakati mwanzo walikuwa wazima. Shauri ya kusikiliza madaktari uchwara wa mitandaoniupo sahihi kwenye maelezo, je kwa matumizi ya limau hayatonizidisha tatizo? mana wadau wamenambia niache tumia vitu vyenye acid
Limao italower hydrochloric acid? Chemistry ya wapi hii mkuu? Hivi kama wewe sio mtaalam wa kitu fulani si ukae kimya kuliko kuexpose your ignorance? Kutokujua kitu si dhambi, kama hujui usijioneshe kwamba unajua,hutapungukiwa kitu. Eti na " kuongeza Hydrogen Chloride gas inayokuchoma". Hata hujishtukiiLimao ni very weak acid ambayo itaweza ku lower hydrochloric acid inayozalishwa na kuongeza hydrogen chloride gas inayokuchoma!!
Pia doctor anaweza kukushauri utumie ant acids kama magnesium pia!!
Maji moto ni long term solution ikiwa ni habit Yako ya kila siku ili ku refresh digestive system!!
Yote yanawezekana, la kufanya ni kuhakikisha husemi naye zaidi ya mambonya dawaHamna jamaa..huyo ni doctor maarufu ata ukishukia nzuguni mwisho stand ya nanenane bodaboda wanamjua
hiyoLimao italower hydrochloric acid? Chemistry ya wapi hii mkuu? Hivi kama wewe sio mtaalam wa kitu fulani si ukae kimya kuliko kuexpose your ignorance? Kutokujua kitu si dhambi, kama hujui usijioneshe kwamba unajua,hutapungukiwa kitu. Eti na " kuongeza Hydrogen Chloride gas inayokuchoma". Hata hujishtukii
Kwamba mkuu, weak acid ukichanganya na strong acid,ile strong acid itapungua ukali wake??Tena IN VIVO? Hebu tuandikie equation ya hiyo reaction.Kwahiyo unatarajia weak acid ukichanganya na strong acid concentration ya strong acid itabaki vile vile!!?
Kinachomuunguza ni nini kama sio hydrogen chloride gas inayofanya reflux kwenye umio!!?
Unataka kuniambia ile hydrochloric acid inayozalishwa inaruka kuja kwenye umio!!?
Locally weak acid Ina uwezo wa ku lower concentration ya strong acid
hiyo
Pole sana mkuu. Kiungulia na maumivu ya kifua mara nyingi vinaweza kuhusiana na mfumo wa ulaji na mtindo wa maisha. Kwanza, jaribu kuacha kabisa sukari na kupunguza sana vyakula vya wanga kama wali, ugali, mikate, chapati, maandazi na hata maharage kwa kipindi fulani uone mabadiliko. Pia epuka matunda yenye sukari nyingi kama ndizi mbivu na yale yenye asidi nyingi kama machungwa na machenza. Maziwa nayo ni vyema ukayaepuka kwa muda.Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo.
Naomba msaada wakuu
Na hili ni tatizo la jamii zetu ,juzi binti mmoja aling'atwa na mbwa badala apelekwe hospitali apate matibabu wakaishia kumpakaa mafuta sijui ya nini ,wanajua wenyewe .Huku mitaani mnatumia dawa bila kufanya vipimo kuhakiki kama kweli ni vidonda vya tumbo..kipimo pekee cha kuhakiki vidonda vya tumbo ni Endoscopy..ambapo mtaalamu atapitisha tube nyembamba mdomoni ikiwa na camera kwa mbele mpaka ifike kwenye utumbo mdogo..hiki kipimo ni ghali kidogo,kama huna bima andaa laki 3.
Lengo ni kuhakiki kama kweli client ana vidonda vya tumbo,na kama vipo vipo kwa uwingi gani na vina ukubwa gani.Acheni kutumia dawa za vidonda vya tumbo bila kufanya vipimo. Watu wengi wana H pylory ukiwapima stool,lakini unakuta hana dalili za vidonda vya tumbo..pia kuna watu wanapata Acid Reflux lakini hana vidonda vya tumbo.
Hivyo kipimo pekee cha ku verify vidonda vya tumbo ni Endoscopy.
Cc MENEMENE TEKERI NA PERESI
Ila hii nchi, yaani hadi leo hii kuna watu hawajui kama mtu kang'atwa na mbwa kitu cha kwanza ni kumkimbiza hospital haraka? . Mi wakati nakua nimesimuliwa stori watu waliong'atwa na mbwa wakikosa matibabu wanaanza kubweka kama mbwa na kufanya niwe na hofu ingawa sijawahi kushuhudia mtu akifikia hiyo stage ya kubweka. Hao wanafamilia ya huyo binti hizo stori za watu kubweka kama mbwa wao hawajawahi kuzisikia? Kifo cha uzembe kabisa.Na hili ni tatizo la jamii zetu ,juzi binti mmoja aling'atwa na mbwa badala apelekwe hospitali apate matibabu wakaishia kumpakaa mafuta sijui ya nini ,wanajua wenyewe .
Leo dada kapumzika
Mkuu BEZO JR , heshima yako. Mimi ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka nane. Baada ya kujaribu tiba mbalimbali na wakati mwingine nilitumia helgo kit lakini kwa siku saba tu sikuendelea nayo tena wala dose nyingine.Mimi ni mtaalamu wa Afya,najua nacho kuambia,pia nmewahi kuugua ..na sijakataa kwamba wanasababisha vidonda vya tumbo lakini siyo vidonda vya tumbo vyote husababishwa na Hpylory..ila nimekuambia kwamba siyo kila mwenye hao bacteria ana vidonda vya tumbo. Wewe hujaelewa nini?
Ndo maana ukilalamika dalili za vidonda vya tumbo,Kipimo cha awali utapimwa uwepo wa antigens kwenye kinyesi chako kujua kama una Hpylory,,ukiwa Positive...
Daktari anaenda mbele zaidi sasa kuhakiki kama una vidonda tumbo kwa kufanyiwa Endoscopy,hiyo ndo itaonyesha kama kweli una hivyo vidonda ama majeraha tumboni,mtaalamu ataandika pia na uwingi wa hivyo vidonda pamoja na ukubwa wa hivyo vidonda,,
Then utapewa dawa kwa ajili ya kuwaua kwanza hao bacteria,then kidonda kitaendelea kupona taratibu.
Same kwa aliye kutwa negative Hpylory,,naye atafanyiwa hicho kipimo kujua kama ana vidonda. Asilimia kubwa ya vidonda husababishwa na Hpylory..lakini pia vipo vidonda tumbk havisababishwi na bacteria...
Karibu kwa mjadala zaidi.
Dawa pekee ya uhakika ya vidonda vya tumbo ni hot water therapy!!!Mkuu BEZO JR , heshima yako. Mimi ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka nane. Baada ya kujaribu tiba mbalimbali na wakati mwingine nilitumia helgo kit lakini kwa siku saba tu sikuendelea nayo tena wala dose nyingine.
Maumivu yalizidi sana bila mafanikio.
Ila baada ya miaka minne numeacha bia, vyakula vinavyonichchea kuumwa kwa tumbo ila linauma-ga pamoja na maumivu ya mgongo.
Na pia wakati nikiwa na hofu na wasiwasi ndo huuma zaidi.
Sijafika stage ya kushindwa kufanya shughuli zangu.
Sasa , niko kwenye dose ya helgo kit nimemaliza dose ya siku 14 na vile vile naendelea na lansoprazole zote hizi ni ushauri niliochukuwa hapa JF na kwa pharmacist.
Baada ya helgo kit niko kwenye dose ya lansoprazole nimefikisha wiki mbili ila bado maumivu yapo. Je kupona kwa vidonda hivi vitachukuwa muda gani mkuu?