Nasumubuliwa na tatizo la GERD / Acid reflux

Nasumubuliwa na tatizo la GERD / Acid reflux

H.pylory ni janga la taifa kwa sasa. Mbaya zaidi inaenezwa kwa denda 🄹
Mkuu siyo kila mwenye H pylory ana vidonda vya tumbo,,ndo maana baada ya kukutwa na Hpylory daktari anashauri ukafanyiwe comfirmatory test ya Endoscopy..kuangaliwa tumboni kama kweli una kidonda na uwingi na saizi yake...

Tushawahi fanya utafiti wa kupima watu 50 randomly,watu 30 walikuwa na H pylory but hawaumwi vidonda vya tumbo
 
Ila ningeshauri urudie kufanya hicho kipimo cha H pylory mkuu,hata hosp nyingine..siyo gharama kihivyo,sehemu nyingi ni elf 10 mpaka 15

Maabara kuna uhuni sana,unakuta jamaa limechoka linaamua tu kwa makusudi kuto kupima na kukujazia Negative.

Maana kama ukijulikana ni pos,ni rahisi kupona mara baada ya kumuangamiza huyo bacteria
Nitafanyia kazi ushauri wako shukrani sana mkuu
 
In digestion!

Kufeli kwa mfumo wa mmengenyo wa chakula!!

Kunywa maji yenye uvugu vugu au ya moto yenye limao kila siku asubuhi!!

Ili upate haja kubwa kwanza kabla ya yote!unaweza weka majani ya chai pia kidogo kwenye maji hayo USIWEKE SUKARI KABISA AISEH!!

TUMBO LAKO LIMEJAA UCHAFU KWENYE RECTUM COZ HUPATI CHOO VIZURI
 
Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo.

Naomba msaada wakuu
Jitahidi kunywa maji mengi, pia kabla na baada ya kula
 
Madaktari uchwara ni wengi humu,
Nishakuwa muanga wa vidonda vya tumbo kwa miaka 6 mfululizo, nimezunguka hospital karibu zote Tz na nimekunywa madawa kama yote, nilileta hapa uzi wangu na picha zangu za Endoscopy (moderators walifuta uzi).
Nina stori ndefu ya kuathia kuhusu huu ugonjwa ni hatari na utakunyima furaha ya maisha.

Ushauri anza kutumia dawa za hospital kikamilifu usipopona, mtafute huyu jamaa anaitwa Hussein nilimpata humuhumu jamii forum. Nilpona kabisa kupitia yeye na nili-recommend ndugu zangu kadhaa kwake na wamepona pia.

Dawa yake inauzwa laki mbili, sikiliza nafsi yako ukiona kuna kita kinakusukuma kujaribu kazi kwako.
Simtangazi mtu yeyote biashara na sifaidiki na kitu kutoka kwake, Nina kiasi Mungu alivyonibariki vinanitosha so msije mkaanza kunishambulia hapa kwamba natangaza biashara, just nimeshare kwa mapenzi na upendo mana nimeshapita huko.
+255 785 970 087
 
Huku mitaani mnatumia dawa bila kufanya vipimo kuhakiki kama kweli ni vidonda vya tumbo..kipimo pekee cha kuhakiki vidonda vya tumbo ni Endoscopy..ambapo mtaalamu atapitisha tube nyembamba mdomoni ikiwa na camera kwa mbele mpaka ifike kwenye utumbo mdogo..hiki kipimo ni ghali kidogo,kama huna bima andaa laki 3.

Lengo ni kuhakiki kama kweli client ana vidonda vya tumbo,na kama vipo vipo kwa uwingi gani na vina ukubwa gani.Acheni kutumia dawa za vidonda vya tumbo bila kufanya vipimo. Watu wengi wana H pylory ukiwapima stool,lakini unakuta hana dalili za vidonda vya tumbo..pia kuna watu wanapata Acid Reflux lakini hana vidonda vya tumbo.

Hivyo kipimo pekee cha ku verify vidonda vya tumbo ni Endoscopy.

Cc MENEMENE TEKERI NA PERESI
Bacteria wa H.plyory ndio wansababisha vidonda mkuu labda uwahi matibabu mapema sana
 
Soma statistics asimia 50 ya watu duniani wanaishi na Hpylory,lakini hawana vidonda vya tumbo..
Nimesema wanasababisha. Hawa bacteria ni hatari sana kama hawajawahi kukupata huwezi kujua kadhia yake.
 
Nimesema wanasababisha. Hawa bacteria ni hatari sana kama hawajawahi kukupata huwezi kujua kadhia yake.
Mimi ni mtaalamu wa Afya,najua nacho kuambia,pia nmewahi kuugua ..na sijakataa kwamba wanasababisha vidonda vya tumbo lakini siyo vidonda vya tumbo vyote husababishwa na Hpylory..ila nimekuambia kwamba siyo kila mwenye hao bacteria ana vidonda vya tumbo. Wewe hujaelewa nini?

Ndo maana ukilalamika dalili za vidonda vya tumbo,Kipimo cha awali utapimwa uwepo wa antigens kwenye kinyesi chako kujua kama una Hpylory,,ukiwa Positive...

Daktari anaenda mbele zaidi sasa kuhakiki kama una vidonda tumbo kwa kufanyiwa Endoscopy,hiyo ndo itaonyesha kama kweli una hivyo vidonda ama majeraha tumboni,mtaalamu ataandika pia na uwingi wa hivyo vidonda pamoja na ukubwa wa hivyo vidonda,,

Then utapewa dawa kwa ajili ya kuwaua kwanza hao bacteria,then kidonda kitaendelea kupona taratibu.

Same kwa aliye kutwa negative Hpylory,,naye atafanyiwa hicho kipimo kujua kama ana vidonda. Asilimia kubwa ya vidonda husababishwa na Hpylory..lakini pia vipo vidonda tumbk havisababishwi na bacteria...

Karibu kwa mjadala zaidi.
 
Sasa ambacho hujaelewa ninini? Mimi nimesema Hpylory husababisha vidonda vya tumbo,, napia kama ulivyosema idadi kubwa ya watu wamepata hivi vidonda kutokana H.pylor kutokana na kuwa na uwezo wa kuambukiza. Hizo sababu nyingine zinazo sababisha vidonda vya tumbo ni sababu ndogo ndogo na ipo kwa watu wachache sana . ukiona mtu ana h.plory hajapata vidonda labda aliyetibiwa mapema baada ya kupata maambukizi
 
Tafuta Matembele
Chukua Brenda saga hayo matembele weka maji glass 1
Baada ya kusaga vizuri kunywa km Juice

Matembele yana virutubisho vingi muhimu ambavyo ni:

Vitamini A
Vitamini C
Vitamini K
Vitamini B-complex (B1, B2, B3, B6, na folate)
Madini muhimu (chuma, kalsiamu, magnesiamu, potasiamu, na zinki)
Protini na nyuzinyuzi (fiber)
Antioxidants (Viambata vya kupambana na sumu mwilini)

Tumia siku 2 mpaka 3 utaona maendeleo yako yanavyokua

mara ngapi kwa siku?
 
In digestion!

Kufeli kwa mfumo wa mmengenyo wa chakula!!

Kunywa maji yenye uvugu vugu au ya moto yenye limao kila siku asubuhi!!

Ili upate haja kubwa kwanza kabla ya yote!unaweza weka majani ya chai pia kidogo kwenye maji hayo USIWEKE SUKARI KABISA AISEH!!

TUMBO LAKO LIMEJAA UCHAFU KWENYE RECTUM COZ HUPATI CHOO VIZURI

upo sahihi kwenye maelezo, je kwa matumizi ya limau hayatonizidisha tatizo? mana wadau wamenambia niache tumia vitu vyenye acid
 
upo sahihi kwenye maelezo, je kwa matumizi ya limau hayatonizidisha tatizo? mana wadau wamenambia niache tumia vitu vyenye acid
Limao ni very weak acid ambayo itaweza ku lower hydrochloric acid inayozalishwa na kuongeza hydrogen chloride gas inayokuchoma!!

Pia doctor anaweza kukushauri utumie ant acids kama magnesium pia!!

Maji moto ni long term solution ikiwa ni habit Yako ya kila siku ili ku refresh digestive system!!
 
Back
Top Bottom