Nasumubuliwa na tatizo la GERD / Acid reflux

Amoxycilin na GERD? inakuwaje hapo mkuu naomba ufafanuzi.

Nina hiyo shida toka 2024, nilibadili tu mfumo wa maisha dawa sikutumia japo nilipewa
Aliyenipa alinambaia kwa mwanzoni dawa zitanisumbua, kwahyo ni kwaajili ya kutuliza mauvivu.
Nlipoanza kumeza dawa; nlikuwa nachoka sana, wakati mwingine kutaka kutamika etc ila baada ya wiki nlikuwa nomal.

Mm pia 2021 nlipewa omeprazole nkazitupa kwa imani potofu kwamba ni dawa ya vidonda vya tumbo na ni za kutumia maisha yote.
 
Kama vidongo hivgi ni maisha yote, bora kumanage tu tatizo kwa kubadili mfumo wa maisha
 
Hata mimi limenisumbu nikpigwa x-ray wakasema vidonda vya tumbo nimetumia dawa ee bado xjapona ila Omeprazole ampricoxsaslin ukimeza vitambungua
 
Lilinisumbua pia sanaa, mpaka ilifika wakati nachukia kula, nkiona chakula nahisi ni adhabu, vyakula vya asidi, soda, kachumbari tulikuwa maadui.
nkaenda hospitali(ccbrt) wakanipima wakanambia nina kitu kama skosei wanaita “Hpylori” wakanipa dawa ( dozi ya mwezi).

Matokeo yake nakula kila kitu na nipo fresh kabisa now days.

Tafuta hospitali yakueleweka utapona.

Zingatia; dawa ina sehemu yake, mfumo wa kula ndo muhimu zaidi, kama bdo ni mtu wa pasi ndefu na kujibana dawa haitasaidie,. Kula kupita kiasi ni kichocheo cha tatizo hilo kwa asilimia kubwa.

Kula kidogo ila mara kwa mara
Mfano;
saa moja(chai pekee ya moto au maji ya moto) ,

saa nne(uji/chai+ vitafunwa)

saa nane(msosi wa kueleweka *sio kwa wingi)

saa kumi(chai/uji)

Cha usiku kuanzia saa 12~saa mbili * usichelewe kula usiku bora uache kula kama muda umeenda.
Please and please unaweza kuwa na kumbukumbu ya dawa za CCBRT uniwekee hapa. tafuta makasha ulipoliweka uniwekee jina hapa , nitakushukuru kwa Mungu
 
VIdonda vya tumbo hivyo...mcheki huyu mwalimu wa Udom akupe dawa inasaidia sana 0756869343...usisahau kuleta mrejesho..siku tano tu
Huku mitaani mnatumia dawa bila kufanya vipimo kuhakiki kama kweli ni vidonda vya tumbo..kipimo pekee cha kuhakiki vidonda vya tumbo ni Endoscopy..ambapo mtaalamu atapitisha tube nyembamba mdomoni ikiwa na camera kwa mbele mpaka ifike kwenye utumbo mdogo..hiki kipimo ni ghali kidogo,kama huna bima andaa laki 3.

Lengo ni kuhakiki kama kweli client ana vidonda vya tumbo,na kama vipo vipo kwa uwingi gani na vina ukubwa gani.Acheni kutumia dawa za vidonda vya tumbo bila kufanya vipimo. Watu wengi wana H pylory ukiwapima stool,lakini unakuta hana dalili za vidonda vya tumbo..pia kuna watu wanapata Acid Reflux lakini hana vidonda vya tumbo.

Hivyo kipimo pekee cha ku verify vidonda vya tumbo ni Endoscopy.

Cc MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Please and please unaweza kuwa na kumbukumbu ya dawa za CCBRT uniwekee hapa. tafuta makasha ulipoliweka uniwekee jina hapa , nitakushukuru kwa Mungu
Kama ni H.pylory dawa ni Heligokit,ina combination ya dawa kama tatu

1.Tinidadole Mg 500
2.Antibiotic [Clarithromycin Mg 250] hata Metronidazole inaweza tumika
3.Proton Pumb inhibitor yoyote kwa ajili ya kublock kiwango kikubwa cha Acid,inaweza kuwa Omeprazole ama Lansoprazole Mg 30
 
Huku mitaani mnatumia dawa bila kufanya vipimo kuhakiki kama kweli ni vidonda vya tumbo..kipimo pekee cha kuhakiki vidonda vya tumbo ni Endoscopy..ambapo mtaalamu atapitisha tube nyembamba mdomoni ikiwa na camera kwa mbele mpaka ifike kwenye utumbo mdogo..hiki kipimo ni ghali kidogo,kama huna bima andaa laki 3.

Lengo ni kuhakiki kama kweli client ana vidonda vya tumbo,na kama vipo vipo kwa uwingi gani na vina ukubwa gani.Acheni kutumia dawa za vidonda vya tumbo bila kufanya vipimo. Watu wengi wana H pylory ukiwapima stool,lakini unakuta hana dalili za vidonda vya tumbo..pia kuna watu wanapata Acid Reflux lakini hana vidonda vya tumbo.

Hivyo kipimo pekee cha ku verify vidonda vya tumbo ni Endoscopy.

Cc MENEMENE TEKERI NA PERESI
Mwezi uliopita nimefanya hiki kipimo na kubaini nipo na michubuko miwili lakini so poa kwa shida nayo pata na hapo ilionyesha tu ni kuwa havijakomaa .

Nikapewa omeprazole ku-control uzalishaji wa Acid.

Gharama ya kipimo ni 107,000/= Tsh
 
Kama ni H.pylory dawa ni Heligokit,ina combination ya dawa kama tatu

1.Tinidadole Mg 500
2.Antibiotic [Clarithromycin Mg 250] hata Metronidazole inaweza tumika
3.Proton Pumb inhibitor yoyote kwa ajili ya kublock kiwango kikubwa cha Acid,inaweza kuwa Omeprazole ama Lansoprazole Mg 30
Naomba kuuliza mkuu ni kweli kwamba Madonda ya tumbo hayaponi ( Yani ile michubuko kukauka?
 
Mwezi uliopita nimefanya hiki kipimo na kubaini nipo na michubuko miwili lakini so poa kwa shida nayo pata na hapo ilionyesha tu ni kuwa havijakomaa .

Nikapewa omeprazole ku-control uzalishaji wa Acid.

Gharama ya kipimo ni 107,000/= Tsh
Sawa mkuu,nadhani bei inatofautiana hosp na hosp. H pylory ulipimwa?
 
Naomba kuuliza mkuu ni kweli kwamba Madonda ya tumbo hayaponi ( Yani ile michubuko kukauka?
Inatemea na kisabibishi mkuu,ila vile vya kusababishwa na Bacteria[H pylory] mostly huyo bacteria akisha angamizwa kwa antibiotic,,mara zote vidonda vinapona...

Unatakiwa kurudi kupima tena H pylory Baada ya kutumia dawa,inashauriwa angalau baada ya miezi miwili,,ili kujua kama hakuna tena huyo bacteria.

Na hiki kipimo kifanywe kwa kutumia sampuli ya stool,badala ya damu.
 
Huwa nikichelewa kula na experience maumivu tumboni muda mwingine mpaka kuhisi vichomi je hii inaweza kuwa ni Acid reflux au madonda ya tumbo au vyote kwa wakati moja ? na nipo kwenye dose ya Omeprazole mkuu
 
Mkuu kama ulifanya hicho kipimo na ukahakishishiwa kuwa ni vidonda vya tumbo kama ulivyo sema,maana yake huwa acid na vidonda tumbo huwa ni sababu ya maumivu kwa pamoja.

Pale ambapo acidi inamwagwa kwenye kidonda kibichi lazima upate maumivu.
 
Kama ni hivyo Omeprazole inakuwa inafanya kazi kwa kiwango kidogo sana ndio maanake ? kwahiyo hazi-broke kabsa production ya Acid
 
Huwa nikichelewa kula na experience maumivu tumboni muda mwingine mpaka kuhisi vichomi je hii inaweza kuwa ni Acid reflux au madonda ya tumbo au vyote kwa wakati moja ? na nipo kwenye dose ya Omeprazole mkuu
Ila ningeshauri urudie kufanya hicho kipimo cha H pylory mkuu,hata hosp nyingine..siyo gharama kihivyo,sehemu nyingi ni elf 10 mpaka 15

Maabara kuna uhuni sana,unakuta jamaa limechoka linaamua tu kwa makusudi kuto kupima na kukujazia Negative.

Maana kama ukijulikana ni pos,ni rahisi kupona mara baada ya kumuangamiza huyo bacteria
 
Back
Top Bottom