Kadololo.Wapendwa wanajf naomba msaada wenu nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hxo ndoto .
Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu ktk ndoto nikaota nipo nashirik mapenzi km kawaida bt cikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani nilikaa kitandani na kutafakari sana.
Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir km majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi
kulala, kulipofik majira km ya asubuh
niliota ninasafir na shemeji yangu tupo
kwenye meli na watu lakini baadaye tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi km ninashiriki mapenzi.. Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuh
Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hyo hali ilishawah kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kweny ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa.
Kwa sasa nina mtu Mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawah kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sabab hyo. Naomba mnisaidie jaman hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza . Nakumbuka kuna mtu alishawah kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahd kuwa nasali usku wakati mwingine hyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita km mwez baada ya muda naanza kuota tena.
Thanx maana siku hizi nimeacha kulala mchana maana naogopa sanaKadololo.
Zipo Thread humu zikijaribu kueleza miongoni mwa source wa tatizo lako...
Jitahidi yafuatayo;
*Kupunguza kukaa mwenyewe ndani kwa muda mrefu....
*Kua busy kwa shughuli na kutembea
*Ibada kuzifanya ktk nyumba ya Ibada kuliko kua pekee...
Thanks too.Thanx maana siku hizi nimeacha kulala mchana maana naogopa sana
Haina haja ya kupanda ndege na anasumbuliwa na jini mahabaJapo sina imani sana na watu wanao jiita manabii, ila nasikia huwa wanayatoa hayo.
Panda ndege nenda kwa TB Joshua ukalitoe, au wasiliana nao watu kama hao wakusaidie, maana hata mkioana na huyo mchumba wako mambo huwa si mambo kwenye ndoa.
HahahaHaina haja ya kupanda ndege na anasumbuliwa na jini mahaba
Asante sana.Sali zabari ya 51 na 35 kabla ya kulala na asubuhi sali zaburi ya 21 91 na 23
Mkuu yanatolewa tena simple tuHahaha
Sasa hapa bongo sijaona anaye yatoa hayo
Hakuna dawa kijana.Jini mahaba ilo na ata mi nilikua na hiyo hali miaka mingi ila sasa nina mwezi na kitu haijatokea tangu nipewe dawa
Unatakiwa uingie kwenye ndoa sasa ndoto huchangiwa na fikra pia je huwa unawaza nini??? lakini umenshangaza huna hisia na mwenzio sikiliza moyo wako unapenda nani usije kujutia uchaguzi wa kuingia ndoani bila hisia za mwenzio kwan mtajikuta mnagombea hata kijiko kama sikuanza kunawa maji mle chakula. Ndoa ina vituko vingi wapo wanaogombana sababu mtoto wao mwenyewe kakojolea kitanda SASA WATAKA AKAKOJOLEE CHA NANI???? Hapo ugomvi unaweza kuwa mkubwa hadi ukweni. NDOA INA VITUKO VINGI, KARIBU KTK MAISHA YA NDOA MCHEPUKO HATARI KWA MAISHA YAKOWapendwa wanajf naomba msaada wenu nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hxo ndoto .