Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

Ndoto zinaweza kukupata kutokana na mazingira uliyo nayo/ unayo lala

Hiyo sehemu unayolala inaweza ikawa mi nyumba ya mapepo/ majini hivyo yana kuingilia.

Kingine ukute zamani ulikua unapiga punyeto( punyeto maana yake unafanya mapenzi ma majini mahaba hivyo unayapa uhalali wa kukutesa

Kingine inaweza kuwa umefungishwa ndoa za majin mahaba / wanawake wa kipepo ktk ulimwengu wa roho bila ww kujua

Hivyo yana uhalali kabisa ya kukuigilia ktk mwil wako sababu ww ni mke wao halalii.

Kingine hao wanaume walio pita kwako wana maroho machafu ndio maana yanakutesa( spirits).

Sababu kama wew ni bint ukifanya kile kitendo unapokea na mwanaume anatoa

Na Biblia yangu inaniambia ajiunganishae na kahaba wamekua mwil mmoja

Hivyo zile roho zotee alizo kuwa nazo huyo mwenza naww unakua nazo

Mpka hapo umenielewa?

Huna haja ya kupanda ndege uende kwa nabii gani sijui

Mm ninachojua Mungu wangu/ Yesu wangu ni wa wote juhud yako tu ya kuomba itakutoa kwenye shida yako

Mungu hayupo kuwa special kwa grp fulan tu la watu.

Hapana . Mungu hana upendeleo na wala hapokei rushwa.

Umenielewa had hapo?
 
Naendelea.
Ndio maaana utakuta mtu akiota anafanya mapenz ni utakuta anakuta ile hali ya kufanya mapenz ktk mwil wake na anafadhaika kabisa

Wengine hadi wanakosa raha au usingiz kabisa au kupelekea kutokulala huo muda kwa kuogopa kuingiliwa( nitaongelea kuhusu muda baadaye)

Wengine wanakuta mbegu za kiume au ule uchafu wa kike ktk mwil wao


Wengine wanaota wamefunga ndoa na watu wasio wajua.( kuna bint aliamka kakuta kavishwa pete)

Sasa wengine zipo rohoni huwez ona kwa macho ya nyama wengine zipo dhahiri

Hapa naongea na mabint mpendao pete mnajivalisha tu et mnaepuka usumbufu

Au mnavaa kama urembo halafu hamziombei hizo pete.
Wengine wanaota wana mimba wanazaa na kunyonyesha kabisa mtoto

Na ukiamka unakuta kabisa matiti yamejaa kama mama mja mzito au anyonyeshae


Umenielewa had hapo?
 
Ukishaanza kuota hizo ndoto

Angalia rlshp hazidumu; kama mama/ baba mpo ktk ndoa hamu ya tendo inaisha

Hayo mapepo yanakua yameshamaliza ile hamu.
Ndoa hazidumu

Ni kuachika tu. Sababu hayo madude huwa hayapendi kushare na mtu

So atakupa hasira au vurugu had amani isiwepo ndan ya ndoa

Na kuoa/ kuolewa inakua ngumu si tayar unakua mke/ mume wa mtu nan atakusumbua kama umeolewa?

Na ukiingiliwa wanakuwekea vitu vingi wanaweza hata kuharibu kizaz chako ai siku zako bila ww kujua..

Narud baadaya muda mfupi....
 
Huo ni ukame,zikizidi sana hua zinatoka zenyewe.
Usilale kwa tumbo hilo tatizo litaisha.
 
JF wangeweka icon tuwe tunatambuana japo kwa jinsia maana mi sijajua we ni ke au me
Ila pole ndugu!!
 
Lakini pia kama we ulikuwa na mpenzi wako na mlikuwa mnafanya mara kwa mara,sasa kwa kuwa saizi huna mpenzi inatokea sasa unaota ndoto nyevu hizo hutokea tu ila kama ungelikuwa na mtu isingetokea kwa sababu hamu isingekuwepo........lakini pia maajabu ni kuwa inatokea hata mchana tena mara kwa mara,mhhhh!!! kuna kazi hapo
 
hali hiyo inaashiria uchafdu. inaweza kusababisha utasa kwa walioolewa na pia kuzuia kuolewa kwa wale ambao bado hawajaolewa. unaweza kuingiwa na mapepo kupitia hali hii ya kula ukiwa ndotoni. ni pm nikutumie vipengele vya maombi ya kuondoa hiyo hali
 
Kwahiyo wewe sio rahisi kupata UKIMWI maana unamaliza kiaina aina tu, aiseeeeeee. bila shaka ukiota hivyo unafika bar na kupata maximum satisfaction😉
 
hali hiyo inaashiria uchafdu. inaweza kusababisha utasa kwa walioolewa na pia kuzuia kuolewa kwa wale ambao bado hawajaolewa. unaweza kuingiwa na mapepo kupitia hali hii ya kula ukiwa ndotoni. ni pm nikutumie vipengele vya maombi ya kuondoa hiyo hali
we mpe hapa hapa. kwan maombi ni siri?
 
Unapo fanya hayo mapenz vitu vinawekwa humo ndani yako

Hivyo lazima yang'olewe

Na kitu cha muhimu usisahau kuomba toba Mungu kabla hujaomba ili uwe ma uhalali wa kupiganiwa vita

Kila pando asilopanda Baba yangu litang'olewa

Kwahiyo hayo mapando lazima yang'olewe

Sema nang'oa mwambie Yesu nang'oa chochote kilichopandwa na adui nang'oa ndan ya mwil wangu

Na mwambie Yesu akusaidie kung'oa hayo mapando

Omba had upone.


Cha kwanza kabisa weka wakfu hilo eneo unalo lala
Hayo makazi yalindwe na damu ya Yesu

Uhiii heaven Sent njoo uniandikie vifungu huku Biblia yangu ipo mbalii
 
Heaven Sent; ujongee huku mara moja nahitaji vifungu vya Maandiko Matakatifu

Ili niende sawa.
Nimefika mama Mchungaji, nisije kukosa baraka bure
Unapo fanya hayo mapenz vitu vinawekwa humo ndani yako

Hivyo lazima yang'olewe

Na kitu cha muhimu usisahau kuomba toba Mungu kabla hujaomba ili uwe ma uhalali wa kupiganiwa vita

Kila pando asilopanda Baba yangu litang'olewa

Kwahiyo hayo mapando lazima yang'olewe

Sema nang'oa mwambie Yesu nang'oa chochote kilichopandwa na adui nang'oa ndan ya mwil wangu

Na mwambie Yesu akusaidie kung'oa hayo mapando

Omba had upone.


Cha kwanza kabisa weka wakfu hilo eneo unalo lala
Hayo makazi yalindwe na damu ya Yesu

Uhiii heaven Sent njoo uniandikie vifungu huku Biblia yangu ipo mbalii
 
Wapendwa wanajf naomba msaada wenu nimekuwa nikisumbuliwa na ndoto za mapenzi pindi ninapokuwa usingizini. Nina mwaka sasa tangu niachane na mpenzi wangu sijashiriki mapenzi lakini hivi karibuni nimekuwa nikiota sana hxo ndoto .

Kuna siku nilikuwa nimelala mchana majira ya saa saba chumbani kwangu ktk ndoto nikaota nipo nashirik mapenzi km kawaida bt cikuweza kumtambua, nilipostuka nilifadhaika sana na kukosa amani nilikaa kitandani na kutafakari sana.

Mbaya zaidi jana usku niliongea na shemeji yangu kwenye simu, ilipofika alfajir km majira ya saa 10 nilistuka baadae nilirudi
kulala, kulipofik majira km ya asubuh
niliota ninasafir na shemeji yangu tupo
kwenye meli na watu lakini baadaye tulizama ndani ya maji mengi hivyo tukaanza kutafutana ndani ya kina cha maji marefu, baadaye alitokea mtu mwingine akanizamisha ndani ya maji hayo na nikahsi km ninashiriki mapenzi.. Nimekuja kustuka majira ya saa moja asubuh

Nakumbuka kipind cha nyuma wakati npo kidato cha sita na chuo hyo hali ilishawah kunitokea lakini nilikuwa napigana nayo kweny ndoto inatoweka lakini kwa sasa imekuwa tofauti kabisa.
Kwa sasa nina mtu Mwingine ambaye aliniomba uchumba sijawah kukutana naye kimwili na sina hisia naye na tumekaribia kumaliza mwaka toka nifahamiane naye.inafika hatua tunaingia kwenye migogoro kwa sabab hyo. Naomba mnisaidie jaman hii ni sababu ya kutoshiriki mapenzi muda mrefu au ndo mambo mengine yameanza . Nakumbuka kuna mtu alishawah kutoa ushuhuda humu aliolewa na pepo nahsi hofu moyoni mwangu. Nimejitahd kuwa nasali usku wakati mwingine hyo hali hutoweka baadae hurudia tena yaweza pita km mwez baada ya muda naanza kuota tena.
Pole xn mrembo
Hiv had na ninyi wanawake mnaota ndoto nyevu kama ss wanaume?
Hii n mpya kwangu ilw usijali jitahid huyo jamaa mpya akugegede fasta ili jin mahaba akukimbie
 
yeye ndio mwenye tatizo na sio wewe na ameomba msaada kwani nikimtumia wewe inakuhusu nini
sidhan kama unaulazma wa kufanya hivyo....ila naona umepanic!! anyway, pole (kama umekwazka)
 
kama vipi anzisha na wewe thread ili nikutumie maombi pm
duuh, we mwanamke kiboko. au upo heat nini? ninakukwepa lakin umekomaa namimi, nitue basi, nimeoa jana jamani!!ok?
 
Back
Top Bottom