Tafuta pesa wewe! Kinachokusumbua Ni umaskini nothing more
Nimejitahidi sana kwenda mkuu. Inaniumiza sana kwa kweli,Tafuta makanisa ya kilokole ya kiukweli wakuombee,ikiwezekana mkabidhi Mungu kabisa maisha yako kisha funga na kuomba kwa kushirikiana na watumishi wa ukweli tuone kama yatarudi, nguvu za giza zote kiboko yake ni YESU pekee,pole sana.
Naunga mkono hoja!Tafuta pesa wewe! Kinachokusumbua Ni umaskini nothing more
Jamani...kuna uhusiano kati ya jinamizi na kukosa pesa?Naunga mkono hoja!
Demi..ukiwa huna hela kuna mawazo meng sana yanakujia..unahis kila mtu adui yako...hakuna masuala ya kuingiliwa kinyume au nini! Ni vile unavyowazaJamani...kuna uhusiano kati ya jinamizi na kukosa pesa?
Sina pesa lkn sipati majinamizi
Huyu ni suala la saikolojia linamsumbua..nothn elsehuko kwa waganga ndiyo umeenda kuharibu kabisa
Ooh kumbe, nashukuru sijawahi kupatwa na hiyo haliDemi..ukiwa huna hela kuna mawazo meng sana yanakujia..unahis kila mtu adui yako...hakuna masuala ya kuingiliwa kinyume au nini! Ni vile unavyowaza
Hayajakukuta....!Ooh kumbe, nashukuru sijawahi kupatwa na hiyo hali
Ataliwa pesa balaahuko kwa waganga ndiyo umeenda kuharibu kabisa