Mambo yana shangaza sana, kuna dogo alikua anatatizo la kujikojolea kitandani akawa anapewa maji yalio oshea mchele yale ya kwanza. Inakua kama maziwa hivi. Dogo kapona kabisaHiyo niliwahi kusikia ni dawa ya ugonjwa wa kunuka kikwapa au yale maji ya mashimo ya kwenye miti mikubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi imani nyingine bhana..