Nasubiri NECTA wanipe tiketi yangu niende chuoni..,..

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
wanajamvi kabla sijaanza mtihani wa form six niliwaaga na nashukuru kwa baraka zenu. Sasa ivi nasubiri matokeo tu niingie chuoni!!
 
Mwombe MUNGU na hakika itakuwa utakavyo!
Ila member wanakuulizia na nikakutolea taarifa lakini ukimya wako unanigusa Best!
 
wanajamvi kabla sijaanza mtihani wa form six niliwaaga na nashukuru kwa baraka zenu. Sasa ivi nasubiri matokeo tu niingie chuoni!!

kuna watoto walikuwa wanaulizia sana matokeo ya f4 kila siku. Yalipotoka cjaona hata mmoja anakuja kusema nimefaulu au nimefeli zaidi ya kuona watu wakiuliza kwa niaba ya wengine.
 
hakuna wakati mgumu km wa kusubiri matokeo ya fm 6 ile hali fm4 upasua mbaya,nakutakia kila la heri!
 
Cantalisia kuna shule ukisoma huna presha ya matokeo, sababu wote huwa wanafaulu tatizo kujua utapata point ngapi? We usome marian au feza uogope utafeli, labda uwe mwanaasha
 
ilo nalo neno mtu wangu.
 
wanajamvi kabla sijaanza mtihani wa form six niliwaaga na nashukuru kwa baraka zenu. Sasa ivi nasubiri matokeo tu niingie chuoni!!

Mungu Mwenyezi, anayeishi mahali pa juu sana, akupe kadiri ya juhudi zako!
 
kuna watoto walikuwa wanaulizia sana matokeo ya f4 kila siku. Yalipotoka cjaona hata mmoja anakuja kusema nimefaulu au nimefeli zaidi ya kuona watu wakiuliza kwa niaba ya wengine.

Golden Mpoleee alikuja kuambia jamvi kuwa amepata 2.18, kama sijakosea!
 
Back
Top Bottom