Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Hatuna namna.

Sasahivi ni saa 7 na robo mchana leo jumatatu tarehe 23.10.2017 mshahara umeshatoka wakuu kwa mwezi wa October?

Benki hasa NMB kuna msururu wa watu?

Mwenye taarifa jamani
 
Wazo zuri sana
 
Hatuna namna.

Sasahivi ni saa 7 na robo mchana leo jumatatu tarehe 23.10.2017 mshahara umeshatoka wakuu kwa mwezi wa October?

Benki hasa NMB kuna msururu wa watu?

Mwenye taarifa jamani
Mods hawajautendea haki uzi wako. Wameunganisha ila ni kama hauendani kivile.
 
Hatuna namna.

Sasahivi ni saa 7 na robo mchana leo jumatatu tarehe 23.10.2017 mshahara umeshatoka wakuu kwa mwezi wa October?

Benki hasa NMB kuna msururu wa watu?

Mwenye taarifa jamani
bado
 
KWANI UZALISHAJI UMEONGEZEKA? KWA KIASI GANI?
 
hivi biko na tatumzuka wanakopesha ??
 
Kitu 2020.
Hawategemei kura za watumishi.So hamna cha kufanya mpaka Bwana mkubwa atakapo jisikia.Tumuombee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…