Tatizo hamtaki kufikiri NJE ya CCM ambae ndio ADUI namba 1 wa TAIFA hiliNimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
Inawezekana, EL alisema nyumba za nyasi zingeondoka ndani ya siku 100.Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
Tatizo hamtaki kufikiri NJE ya CCM ambae ndio ADUI namba 1 wa TAIFA hili
Ndio sasa ni meelewa vizuri zaidi pale Rais JPM anapo sema "hapa ndipo Tanzania ilipokuwa imefikia." Kile kinachoitwa wanamtandao ndio madhara yake tunayaona sasa. Ni vema moja ya vipaumbele vya Rais ikawa ni pamoja na kudhibiti uwezekano wa kutokea mtu au kikundi cha watu kutengeneza mitandao katika kutafuta uongozi wa juu wa taifa hili.
TTatizo lenu hamtaki kuamini kuwa ADUI wa TAIFA hili ni CCM mkiambiwa chagueni kitu kingine mnaishia kutaja majina ya watu...so..TULIENI...siku mkija kuamini kwamba CCM ndio inaharibu hii NCH hata akigombea MALAIKA kwenye hiyo hamtamchagua....!! Endeleeni kusubiri Tanzania ya Viwanda...
!!
Tanzania ilipata Uhuru 5.11.2015 hivyo mmeshimiwa haoni wasomi wazalendo na wazoefu,anaona makada wa ccm,akina madabida ndo siyo wezi ,hawapendi ujambazi na niwazalendo.Uli ujue lazima uanze. Huwezi tembea kilomita mbili bila kuanza na hatua moja.
Hata mbuyu umeanza kama mchicha.
Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
Siku ukifika kaburini naamini utaelewa ukweli uliousema huyo jamaa wa namna ccm ilivyoadui namba moja wa nchi yetu na watanzania kuliko shetaniCCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
hupo wap ndug yang nikupe hata moja moto moja barid.. hv ni tanzania ya viwanda au ya vibanda??Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
Well said mkuu,Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
unafurahia kuondoa uozo na kuweka uozo - kwa mujibu wako!Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa! Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi. Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa. Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana. Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt. Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana. Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa. Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen