Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

Dogo anatakiwa ago easy, yeye kama nia yake kuwatumikia wananchi wa Arumeru awekeze nguvu nyingi kwenye kutatua kero jimboni mwake. Hizi mambo akizianza atashangaa miaka 3 imepita ame spend muda wote mahakamani.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni upepo tu, kama mwanasiasa anavyotaka aonekane polisi nao wanataka waonekane kuwa wanafanya kazi.
I don't see any serious issue here, kwani nchi inavamiwa au amejiunga na kikundi cha Al shaabab,
those are are just words spoken by a politician when practicing politics.
Ingawa next time lazima awe mwangalifu asitekwe na umati kama mwanamziki.
 
hii imekaa vizuri, dawa ni kujitenga kila wa2 na jimbo lao halafu

mafisadi woteeeeeeeeeeeeee ktk kila kanda wapigwe kiberiti tu!
 
Darfur ndiyo makao makuu ya sudan ya kusini mkuu!

ndugu Mungi si kweli kwamba Darfur ipo South Sudan hebu angalia ramani yako vizuri, ile imebaki North (Sudan). usichanganye Darfur na Juba mkuu wangu
 
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO.

Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
 
Junior Member Array

Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given

Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini
 
kisima jongoo hauko mbali na ukweli, kauli ya nasari si ya bahati mbaya. mwenye macho haambiwi tazama.
 
nimesikitishwa na kauli ya mhe nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa tanzania. Japo mhe mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa chadema ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya chadema na tajiri wao sabodo. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!


well said
 
......kusema vyama vya siasa ni takataka hasa hicho cha kabila moja ni tofauti sana na maneno ya bwana mdogo kusema eti rais hasikanyage huko...tafakari na chukua hatua liberatus tunakuamini sana utawanyosha hao watu...
ninachosema sio kuwa alichosema ni sahihi, la hasha lakini yeye anasimamia hali halisi ya nchi ilivyo kwa sasa na hiyo iwe kama onyo kwa wasimamizi na watekelezaji wa sheria kuwa makini kwa maana miaka mpaka ya mwanzoni mwa sabini (mfano) Sudan ilikuwa moja. Ila muendelezo wa 'economical and social injustice' ndio umezitenga hizi nchi.

Mfano, unadhani ni kwa nini watu wanachoma moto Watanzania wenzao kwa kisingizio cha 'vibaka'!? Jibu ni kuwa muendelezo wa matukio umefanya watu wapoteze imani na polisi na mfumo wa sheria.

Kwa maana hiyo inabidi tukubaliane tu kuwa matukio ya kila siku ndio yanajenga 'akili mpya' kwenye jamii husika na hivyo ndivyo Mh. Nassari anavyowaza katika nchi ambayo rushwa inafumbiwa macho na watu wengi wa Arusha wanaamini kauli aliyoitoa 'Mh' Godbless Lema kuwa hukumu ya kutengua ubunge wake ilikuwa na 'mkono wa Ikulu'

 
Junior Member Array

Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given

Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini
matatizo ya magamba mageni jamvini .............................
 
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

wewe huna jipya, unafiki, uzandiki na umbeya wako ndio unaokufanya utafsiri mambo kwa njia yako.

lakini hatukulaumu kwa sababu hayo ni mawazo yako.
 
ɐʇǝןnʞ ɐן ǝuıbuıן ɐʇnɟɐʇ ɐʍɥɔıʞ ɐzıɯn'ɐuɐɯ ɐu ozısız sʇsod nʇ ɐzɐظɐun'ıbuıʎu ɐɹɐɯ ɐuɐs ɐʍıןıpɐظǝɯı nɥsı ııɥ
 
Back
Top Bottom