Nassari na Lema mna kesi, kumrekodi DC bila idhini yake ni kosa kisheria

yule aliyerekodi atasaidia kina lema na nasari. vile vile kuna walakini wa hao wanaotunza hizo video kuweza kuzifanyia ujanja ujanja kabla ya kuziwasilisha mamlakani. tutawaamini vipi hawa wanaohifadhi hizi video kama hawajazichezea?
Mamlaka husika ndo zitasema kama kweli hizo video zimechezewa au la na kama zimechezewa ni kwa kiasi gani haziathiri maudhui original.
 
Yaani hapa ccm akili kwisha.majambazi wanao rekodiwa na CCTV ,hawachukuliwi hatua kwakua wamerikodiwa bila idhini yao !hapa ccm wamevunjwa nyonga na hii issue.utulivu wa wakubwa zao sasahivi,wanawafundisha,mjeshi mkuu,polisi,jaji,mgambo na magereza chakusema !!! Hii niaibu kubwa kuwahi kutokea kitaifa !! Sasa hivi ndugi na ummi wataongea !! Yaani hata wasiostahili kuongea ktk hili watatumwa tu wajitokeze, alimradi kufunika aibu hii iliolikumba taifa !! Hakika magufuli umeingizwa penyewe,sasa kwa hasira na hawa wateule wako waliokuchoresha kiasi hiki,wamiminie risasi za kutosha,tujue Wewe ni mwanaume wa chato !
 
Kumrekodi mtu na kusambaza video zake bila idhini yake ni kosa la jinai Nasari na Lema mna kesi ya kujibu jiandaeni.
Wewe ni mpuuzi sana,wasinge record wananchi wangejuaje mchezo huu mchafu.Akina Lema na Nasari wamefanya kazi nzuri sana,and we want more of this type of thing elsewhere.Na atakayediriki kuwachukulia hatua ni wazi kwamba ni adui wa Watanzania.Ujinga huu utafichwa mpaka lini.Watu badala ya kufanya kazi kwa weledi wananchi wakakipenda chama kihalali, wanatumia rushwa kujaribu kuonyesha kwamba chama kinapendwa.Hovyo sana.Tunaomba wahusika wote wachukuliwe hatua kali kwa utovu mkubwa wa nidhamu na kuvunja sheria za nchi.Inaudhi,inaudhi, inaudhi sana.Chama hakiwezi kuendelea hivi,ni aibu sana.
 
yule aliyerekodi atasaidia kina lema na nasari. vile vile kuna walakini wa hao wanaotunza hizo video kuweza kuzifanyia ujanja ujanja kabla ya kuziwasilisha mamlakani. tutawaamini vipi hawa wanaohifadhi hizi video kama hawajazichezea?

Kwanza siku hizi kuna sheria inayotambua electronic evidence hivyo record ya flash inatosha kumfunga mtu. Kitendo cha kuchezewa kinaitwa "edit" na hivyo huhitaji wataalamu kujua kama ni edit au la.

Vilevile wahusika mmoja baada ya mwingine wameanza kukiri kiaina. Hakuna aliyekana kwamba hizo video ni uongo. Unasikia mara Ooooh, nilitoa mchanga wa harusi, Oooh huwa nasaidia, alimradi anajaribu kupindisha maudhui ya kuonekana na video.

Hapa PCCB wameingizwa mtegoni maana wasipochukua hatua basi akina Nassary wanaimwaga mitandaoni hata zile wazlizoficha na ndiko kutakuwa na umbuko zaidi na nadhani ndiyo stratergy ya hawa jamaa.

Kwa ujumla wahusika wameshikwa pabaya na mnaowatetea mmeshikwa pabaya. Nilidhani mnamuunga rais mkono katika vita ya rushwa kumbe mnamuunga rushwa kwa mnaowachukia.

Nyinyi ni wajinga mliodhani ukipambana na rushwa basi wapendwa na wateuliwa wenu hawatausika.

Ninavyowaona wapinzani na watanzania kwa ujumla hawapingi nia ya dhati ya rais kuhusu rushwa na maovu. Wanachopinga ni kuwa double standard. Ukishaweka sheria basi hata mama yako akikosea mshughulikie, vinginevyo utashindwa kuongoza na siku zote wapinzani wako wanatafuta upenyo kukujaribu wapi unashindwa kuongoza.

Uongozi si ulaini wa kupata washabiki wa kukutetea huku mitandaoni.
 
Huyu mleta hoja hana akili,hivi CCTV ikimrekodi muhalifu ,muhalifu ataishitaki CCTV kwa kumrekodi Vila idhini yake?
 
yule aliyerekodi atasaidia kina lema na nasari. vile vile kuna walakini wa hao wanaotunza hizo video kuweza kuzifanyia ujanja ujanja kabla ya kuziwasilisha mamlakani. tutawaamini vipi hawa wanaohifadhi hizi video kama hawajazichezea?
Dah!..
Kweli magamba mmeshikwa pabaya hadi ww umejitambua leo angalau umeandika vitu vinavyoeleweka...
 
Kumrekodi mtu na kusambaza video zake bila idhini yake ni kosa la jinai Nasari na Lema mna kesi ya kujibu jiandaeni.
Shame upon you kwa mujibu wa kifungu gan cha sheria ipi andishi???. Mkiambiwa UDSM wanapika vijana wanaiva mnanuuuuuuuna ona sasa matokeo yke!.
 
Back
Top Bottom