Nassari na Lema mna kesi, kumrekodi DC bila idhini yake ni kosa kisheria

ulinzi wa nchi ni wetu sote,wangemrekodi akiwa chumbani juu ya mkewe sawa hizo ni privacy ila kutoa rushwa ni ushahidi hakuna kuvunjiwa heshima kwenye rushwa.
 
yule aliyerekodi atasaidia kina lema na nasari. vile vile kuna walakini wa hao wanaotunza hizo video kuweza kuzifanyia ujanja ujanja kabla ya kuziwasilisha mamlakani. tutawaamini vipi hawa wanaohifadhi hizi video kama hawajazichezea?
Hivi hizo akili zenu huwa mnaruhusu kwa hiari yenu ziondolewe au huwa mmeonyeshwa bunduki?
 
Akili mbovu,maana sheria si lazima iwe haki. Hapa hatuna muda wa kujadili mbwembwe za sheria,bali tuna wajibu wa kujadili uhalisia wa jambo.
 
Kumrekodi mtu na kusambaza video zake bila idhini yake ni kosa la jinai Nasari na Lema mna kesi ya kujibu jiandaeni.
Sasa we poyoyo, kumrekodi mtu anaefanya uhalifu ni kosa? na CCTV mitaani zimewekwa za nini basi?
 
Kumrekodi mtu na kusambaza video zake bila idhini yake ni kosa la jinai Nasari na Lema mna kesi ya kujibu jiandaeni.

Mkuu umekuja na ma mpya ,

Itabidi utoe darasa tukuelewe vyema, km. unaanzaje kupata idhini ya mtu kama DC kabla hujarekodi jinai ya rushwa au nyingine inayotendwa au inayotarajiwa kutendwa na huyo DC ?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom