Nassari: Lowassa anahusika kunipiga


Huyo mtu hafai kabisa, kujitia kwenye familia isiyomhusu ndee wala sikio. Kuona kashikiwa bango na Andrew Nyerere akaona atafute pakutokea.
 
Last edited by a moderator:

Watu wengine hata akili za kuzaliwa hawana:

Huyu kitaleki sijui hata ukatibu tarafa aliupataje!

We huyo huyo unasema hukuwepi kwenye tukio, halafu we huyo huyo unasimulia yakiyotokea!


Sasa hapo nani Msanii
 
Mkuu THE BIG SHOW
Virusi ndani ya CHADEMA ndiyo aina hii ya kina Yericko Nyerere . Hawa ndiyo watu wanaoishi wakiwa wamevaa ngozi za kondoo kumbe ndani ni simba. Kwa sasa alikuwa anaishi amevaa ngozi ya UTOTO wa Mwl. Nyerere kupata "HESHIMA" ambazo anafahamu hana na hawezi kuzipata kutokana na kujitambua kama hana uwezo wa kufanya kazi kwa nguvu na maarifa ili kuzipata.

The guy is double-cross and disgusting.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ameweza kuwauza watu wengi sana hapa JF na ninatumaini hata huko nje ya JF. He's a proffessional

Kwa Tanzania sidhani kama kuna stalking and harassment law. Huyu jamaa alitakiwa apelekwe mahakamani kwa kujipatia na kuendesha maisha yake kwa misingi ya deception, stalking and harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.

Mbio zake za sakafuni zimeishia ukingoni.
 

hakupewa kipgo vizuri alipapaswa
 
huna jipya we muuza madawa ya kulevya,we na baba ako wote VILAZA TU

Mkuu unatukana watu ambao hawana hatia huyo jamaa sio mtoto wa rais ni mtu wakawaida hiyo I'd tu usitukana kiongozi wetu hajakufanya kosa lolote deal na huyo kilaza Ritz
 
Aliponyoka na.kukimbila bastola yake na.kuwanyooshea bila ya kufyatua...
 
Tubadilikini huyu jamaa kweli msanii kama kapigwa kweli kwanini mpaka leo haja mshitaki huyo lowass na ninavyo wajua chadema kwakupenda promo tungekuwa tumeshaona kwenye tv
 
Tubadilikini huyu jamaa kweli msanii kama kapigwa kweli kwanini mpaka leo haja mshitaki huyo lowass na ninavyo wajua chadema kwakupenda promo tungekuwa tumeshaona kwenye tv

mkuu wakat mwngne binafs nashukur Mungu hajakamatwa,wale wamasai walimpania haswaa.ashukur Mungu aliingia mitin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…