Nassari: Lowassa anahusika kunipiga

Simo, nasema simo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Of course who iz nyerere was he JESUS...? Haya ma mtu yamezoea kuabudu watu yalithubutu kusema wakati wa kampeni eti dr slaa ni kama nabii MUSSA.., mengine yakasema eti ni zaidi ya nabii Mussa eti slaa ni chaguo la Mungu.
 

Of course who iz nyerere was he JESUS...? Haya ma mtu yamezoea kuabudu watu yalithubutu kusema wakati wa kampeni eti dr slaa ni kama nabii MUSSA.., mengine yakasema eti ni zaidi ya nabii Mussa eti slaa ni chaguo la Mungu.
 
Jamaa amenenepa sana muda mfupi ndio maana anakuwa mchovumchovu.

Angejiunga na wenzake JKT asingefikwa na hayo
yie ndio wale wachache mnaowaza chakula ndio kinanenepesha kumbe mengine ni magonjwa nyambaf
 
Msimamizi wa Uchaguzi, Paulo Kitaleki ambaye pia ni katibu tarafa, amesema Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari hakupigwa wala kuguswa na mtu yeyote ila yeye ndiye aliyempiga wakala wa CCM waliyekuwa wakihesabu nae kura na baada ya wananchi kutaka kumkamata ndio akajifanya kua amepigwa.

“Huyu Nassari ni mwigizaji na anafaa kuwa msanii kwa kuwa anaigiza tu hata hakupigwa, bali yeye ndiyo aliyempiga Wakala wa CCM, Hussein Osama ambaye ni mlemavu, kisha akatimua mbio baada ya vijana kutaka kumkamata, nashangaa kumwona yupo hospitali akidai kupigwa, siyo kweli,” alisema Kitaleki.

Read more: GUMZO LA JIJI | Pata Habari Moto moto
 


Ndugu Ng'wamapalala,do you trust that doctor??

Some people says everything is for sale in this country...!

By the way hivi unajua yule kamanda mwenzetu anaeijiita kwamba ni mtoto wa nyerere amekiri kwamba si mwanafamilia hiyo bali alikua anatumia hilo jina kinyume na uhalisia??

Amekiri na kupata aibu kubwa sana,

Yule anaeitwa Yericko Nyerere...

Si unaukumbuka ule mgogoro wetu that day??

cc@Ritz Ben saa nane...
 
Last edited by a moderator:
Nasar punguza speed unatafuta umaarufu ambao hautakusaidia, lowassa hawez kuamuru watu wakupige na swala la yeye kukupigia simu ni utashi wa mtu! CDM kuna viongozi wa mfano kama zito kabwe hafagiliii huo ujinga wenu, wewe bado ni mchanga sana kisiasa ukilinganisha na lowassa u still need to grow up tuliza akili acha maneno! Wagonjwa wanajulikana hata bila kuambiwa wewe umepumzika tu japo kwa mda utambae zako
 
Ni kweli kabisa Lowassa ni mtu wa hatari sana katika nchi hii na anatumia pesa nyingi kuhakikisha anapata Urais. Watanzania tuwe makini na mtu huyu na sasa ni muda muafaka kwa Chadema kumshughulikia mtu huyu kisiasa asiendelee kuwadanganya Watanzania kwenye harambee zake za danganya toto. Aibu tupu Lowassa na tamaa zake za uongozi.
Kwa jinsi ninavyomjua lowasa, nina uhakika 100% anahusika. Lowasa amechukua vijana wengi monduli na kuwaweka mfukoni, anawapa pesa na hata kuwanywesha pombe ili wadhuru watu! Lowasa hawezi kupata huo urais, ni mtu hatari sana!
 
Imefika kipindi hawa wanasiasa waache porojo na kupayuka...
Kama una ushahidi nenda kwenye vyombo stahiki kuliko kulalama...
Kwa kuendelea kulalama tu hivi, haitoi msaada kwa Nassari bali inazidi kumvimbisha kichwa mtuhumu wake...

mzee anapenda kesi huyo..nasari awe makini anaweza akashtakiwa na huyu mr dowans
 
Chezea Morani wewe lazima aanze kuweweseka.
 

Hapo kwenye Red, hao kwani waliumizwa popote?
 
Wow, Don't tell me THE BIG SHOW

I can't believe it even though we suspect something was fishy in Yericko Nyerere online character ukilinganisha na watoto hasa wa Mwl. Nyerere.

Siwezi kuamini kama bado hapa duniani kuna watu ambao wanaona ni fahari kama wangezaliwa kwenye familia fulani huku wakiwakana wazazi wao wa kuwazaa. Huyu jamaa alikuwa anawakana wazazi wake wa kumzaa na kujipachika utoto wa Mwl. Nyerere.

Please, link me to the confession thread.
 
Wow, Don't tell me THE BIG SHOW

I can't believe it even though we suspect something was fishy in Yericko Nyerere online character ukilinganisha na watoto hasa wa Mwl. Nyerere.

Please, link me to the confession thread.


Nenda juu kabisa kwenye jukwaa la siasa kuna mada ipo closed sasa inasema UCHOCHEZ WA MOHAMED SAID NA DHIHAKA KWA WAPIGANIA UHURU WA TANZANIA,
INVISIBLE KAIWEKA KAMA STICKY,

HUMO NDAN NDIMO UTAKUTA MAJIGAMBO YAKE KWANA NYERERE NI BABA YAKE,PIA UTAKUTA MAJUTO YAKE NA KUOMBA KWAKE RADHI KWAMBA NYERERE SI BABA YAKE,

YANI KAVULIWA NGUVU KABISA,

cc Ritz..
 
Last edited by a moderator:
Shukrani zangu THE BIG SHOW kwa kunigusa sikio kuhusiana na huyu jamaa.

We can now go to bed knowing Yericko Nyerere maisha yake hapa JF yalikuwa yanaendeshwa kwa kutumia heshima fake ( Mwl. Nyerere family). I believe, he has cheated so many people not just in JF but also katika maisha yake ya kila siku Tanzania.

Kitu kilichokuwa kinanishangaza, kila jambo ambalo lilikuwa linahusu familia ya Mwl. Nyerere alikuwa very active kutoa comments na kuleta mada. The guy was living a LIE and deceiving himself. This kind of people don't feel ashamed at all.
 
Kama kiongozi wa umma ni kwa nini aliwatishia wananchi kwa bastora huku hata Police wenyewe hawakwenda na bunduki eneo la uchaguzi?. Aseme alielemewa tu, kuliko kuanza kumtafuta mchawi huku yeye mwenyewe ndo mchawi. Hii inatakuja kumaanisha mheshiwa kajipiga mwenyewe kimtazamo na maneno yake. Maana yake ni kuwa kaanzisha fujo mwenyewe akidhania wananchi watamwogopa kwa nafasi yake ya Ubunge.

Ni mawazo tu.
 



:bump2::bump2:

I second you,
JF ni kiboko ya watu wapenda vya bure kama hawa,na imethibitika kweli kweli kwamba ukipenda vya bure utaambulia aibu tuh,

Nadhani hii iwe fundisho kwa watu wote wenye hulka kama yake,

Bila shaka Yericko Nyerere humu jamvini kila mtu atakuwa anampuuza sasa...

Hasa hasa sisi wana chadema wenzake,

cc@Ben Saa nane Ritz zomba Boko haram
 
Last edited by a moderator:

Na alivyoona Andrew Nyerere kamshikia bango kuanzia Msasani mpaka Mwitongo, akaamuwa aingie mitini na aombe mjadala ufungwe.

Nilimjuwa kuwa yu tapeli siku nyingi na kamtukanisha sana Mzee Nyerere, kwani alishadai kuwa ni "baba yangu mzazi". Ilifanya watu wengi waelewe kuwa mtakatifu to be alikuwa na mtoto wa nje.

Dah! kama ni nchi zingingine Yericko Nyerere ameshakuwa "sued" vibaya sana kwa kutumia jina ambalo halimhusu ndee wala sikio. Mimi nilimstukia na nikamwambia kuwa yu tapeli.

Eti "explanation" yake ni kuwa yeye Mhehe halafu anaitwa Nyerere na babu yake alitoka huko Kaskazini, sasa kama babu yake katoka huko huo Uhehe kaupata wapi, kadandia? Ni mtu ambae hana mantik kabisa.

Anapenda kujikweza, eti ataleta hotuba, hajaleta! eti ataonana na Chifu Mkwawa, hajarudi tena!

Mijitu mingine kwa kutafuta sifa za kijinga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…