Nassari avunja ukimya

Nassari avunja ukimya

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,766
Reaction score
4,048
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameibuka upya baada ya kukaa kimya kwa muda tangu avuliwe ubunge.

 
Hapana saivi zamu ya kijana mwingine kupeperusha Bendera ya cdm,Bob NASA ushakula vya kutosha sasa jiajiri chalii. Umesoma nje,umepata mtoto marekani umejenga na unamihela bado tuu??? aaalaaah!!!
 
Poa sana mkuu.Hakuna kipindi upinzani umepitia kwenye machungu km kipindi hiki!
 
Akiri tu aliteleza. Wewe umechaguliwa kuwa Mbunge wa Moshi ila makazi yako yapo California, USA.

Hapo ni kuwadhulumu wananchi haki zao.
Kumbe Nassari alikuwa pia mbunge wa Moshi? Sijawahi sikia hilo jambo.
 
Back
Top Bottom