MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,106
- 4,621
basi nyamaza acha umbea dada anguSifahamu alipo Mkuu
basi nyamaza acha umbea dada anguSifahamu alipo Mkuu
Ficha upumbavu wako moshi ya wapi aliyoongoza Dogo janja?Akiri tu aliteleza. Wewe umechaguliwa kuwa Mbunge wa Moshi ila makazi yako yapo California, USA.
Hapo ni kuwadhulumu wananchi haki zao.
Kwangu mimi ni vigezo,unajineemesha huku huwainui watu wako jimboni manake mini? Kilasiku uko kwa wazungu hko badala ukae USA ya chuga unakaa USA orijinali ya tirampu?? badala ufatilie vijana na kinamama pesa za mitaji? Hospitali nk. anahangaikia yake. Akwende akapambane na ufugaji wake wa kitimoto na aje kijana mwengine alaa alipata nafasi akazinguaSasa hivyo ni vigezo
vya kumfanya hasigombee tena?
Mbona kuna watu walikuwa kwenye ubunge tangu enzi za Mwalimu mpaka sasa wanajitahidi kuendelea kubakia hapo kwenye hiyo nafasi?
Kusoma, kujenga au mtoto kuzaliwa nje haiwezi kumnyima mtu haki ya kugombea ubunge.
Sasa umejuaje kuwa alichukua hela?.Anigae mimi nimesoma naye?
Anigae mimi nimesoma naye?
Sasa umejuaje kuwa alichukua hela?.
Au ndo umbea mtoto wa kiume?
huyu dogo ni mzembe, kapoteza ubunge kwasababu za kijinga kabisa