Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Mkono siyo Mbunge Siku nyingi, yuko UK, hana Jimbo!Hivi Mbunge Mkono yupo wapi
Mkono siyo Mbunge Siku nyingi, yuko UK, hana Jimbo!Hivi Mbunge Mkono yupo wapi
Mkono siyo Mbunge Siku nyingi, yuko UK, hana Jimbo!
Hivi kumbe kuna kuvunja ungo, ukimya...kingine huvunjwa ni nini?
fHivi Mbunge Mkono yupo wapi
Na Prof.Muhongo.f
Kwa Tanzania kabila lisilopenda kudharauliwa na linajua kusimamia haki zao ni Wameru,nmekaa karibia miaka 9 meru Nina wajua in and out
Ni watu wanao hitaji viongozi wajasiri,ni watu wanaojua kusimamia kile wanachokiamini,Mbunge wao aliyevuliwa ubunge najua bado ni Mbunge wa meru ndani ya mioyo ya Wameru,msimbeze Nasssary anacho zungumza kitadhihirishwa mwakani maana ni mtu jasiri kuliko Mbunge wa sasa wa Meru na hata Mbunge mwenyewe anajua.
2020 itazungumza
Kwani ubunge wa Tz ndo kila kitu?huyu dogo ni mzembe, kapoteza ubunge kwasababu za kijinga kabisa
Kwani kabla ya kuwa Mbunge aliko kuwa alikuwa Hali?Huyo mtoto ni muhuni tu, alichukua hela ya ccm ndio maana akaja na sababu za kitoto.
Hivi Mbunge Mkono yupo wapi
hapana sio kikakitu, lakini ni tofauti na ajira ya kawaida, ukiwa mbunge unakiwakilisha chama na wananchi wako, unapofanya uzembe unakigharimu chama kilichoweka imani kwako pamoja na wananchi wakoKwani ubunge wa Tz ndo kila kitu?
vya kumfanya hasigombee tena?Hapana saivi zamu ya kijana mwingine kupeperusha Bendera ya cdm,Bob NASA ushakula vya kutosha sasa jiajiri chalii. Umesoma nje,umepata mtoto marekani umejenga na unamihela bado tuu??? aaalaaah!!!
Alichukua hela!!!.Huyo mtoto ni muhuni tu, alichukua hela ya ccm ndio maana akaja na sababu za kitoto.
Alichukua hela!!!.
Alikugawia shilingi ngapi kwenye huo mgawo?.
Hivi kumbe kuna kuvunja ungo, ukimya...kingine huvunjwa ni nini?
muhongo sosipeter anakaa wapi?Akiri tu aliteleza. Wewe umechaguliwa kuwa Mbunge wa Moshi ila makazi yako yapo California, USA.
Hapo ni kuwadhulumu wananchi haki zao.