kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Baada ya Nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm
Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!
Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM
Vita ni akili
Siasa mpaka 2020!