Nassari aisifia serikali

SIERA

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,780
3,403
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..

Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
 
Uzuri viongozi wa CDM wanasemaga ukweli na kumpa mtu sifa kama kweli anastahili.. kwa maana wali wapa baadhi ya wabunge wa ccm credit kipindi cha uchaguzi 2010. na wakaamua kutosimamisha wagombea wao kwaajili wana wakubali.
 
Mh. Nassari ni kanjanja.

Mpo watatu msojitambua yaani mmekutana kwenye vijiwe vya umbeya,pole sana magamba hayavuki huku nape haonekani jukwaani.Kawaachia vijangili vidogo kuleta umbeya lakini mjue nyie bado sana kwani vichanga.
 
Aliyasemea wapi hayo?? Saa ngapi??
aliyasema leo arusha na alikua na pinda sasa sijui wew mwenzangu ulikuanae mdawote leo na hata kama ulikua nae mda wote bs ulikua umelala wakati anazungumza hayo..kwa wale waloangalia taharifa ya habari ya leo hawawezi kuja kubisha hapa coz alitamka kwa kinywa chake
 
Mpo watatu msojitambua yaani mmekutana kwenye vijiwe vya umbeya,pole sana magamba hayavuki huku nape haonekani jukwaani.Kawaachia vijangili vidogo kuleta umbeya lakini mjue nyie bado sana kwani vichanga.
kwani huu ni umbea!au hukuangalia news leo saa2 ?
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
Yani watu wengine mnaandika habari mkiwa mnawashwaaa!!!. Si mjikune kwanza mlete habari inayoeleweka?!!!
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?

Oh Yeah... Bungeni ni SEHEMU ya KUIKOSOA na KUIREKEBISHA SERIKALI; Hauwezi kuipigia Makofi Serikali Bungeni - ITALALA
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?

kama mnakubali kusifiwa kubalini hata kukosolewa, kazi ya mpinzani ni kuonesha mapungufu ya aliyepo madarakani!. mfano, ikitokea UDP ikashika madaraka wabunge wa ccm wataendelea kuziunga hoja zote kwa % 100 kama wafanyavo hivi sasa?
 
Nachojaribu kujua kwanini wafuasi wa cdm hawaoni lolote lilofanywa na serikali?lakini viongozi wao wakiwa na wakuu wa serikali huwasifia wamefanya mambo mema kwa wananchi na huyu si mmoja wako kina mbowe na wingineo
 
Wakitoka hapo wanasema Tangu Uhuru hakijafanyika kitu, Inabidi uwe Muumini wa Viloba ili uendane nao kiakili!
 
Hayo mambo mema yaliyofanywa na Serikali yamefanywa katika sekta ipi!? Afya, elimu, usafiri, ajira, mikataba yenye maslahi kwa nchi, upatikanaji wa maji/umeme!? Tiririka ueleweke wengi tunaona madudu tu kila kona.
 
Nenda kamuulize nassari yeye ndio alisema leo mbele ya pinda serikali imefanya mambo mengi mazuri na akazidiashia kwa kusema myonge nyongeni haki yake mpeni...sasa sijui kwenye nyanja ipi na yeye ni mpinzani kayaona hayo mazuri na alisema pia pamoja mimi ni mpizani lakini mazuri ya serikali nayaona
 
Back
Top Bottom