Nenda kamuulize nassari yeye ndio alisema leo mbele ya pinda serikali imefanya mambo mengi mazuri na akazidiashia kwa kusema myonge nyongeni haki yake mpeni...sasa sijui kwenye nyanja ipi na yeye ni mpinzani kayaona hayo mazuri na alisema pia pamoja mimi ni mpizani lakini mazuri ya serikali nayaona
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..
Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
Kwa taarifa yako hayo maneno mimi ni mpinzani na mazuri nayaona ameyasema nasari not me kama ulikua ujanielewa..kwaiyo nenda kamuulize yeye ndio anae yaona hayo mazuri mbona mgumu kuelewa we kijana aaaahlol hahahaha ulianzisha uzi wa nini kama huna ushahidi wa kutosha kutetea ulichoandika? Hayo mazuri ya Serikali unayaona katika nyanja zipi nilizoziweka hapo juu!?
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..
Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
Mh. Nassari ni kanjanja.

heading na nilichoandika ndani utofauti wake ni nini?alichofanya yeye ni kusifia serikali kwani ni dhambi!mkuu ebu tulia ueleweke heading na ulichoandika mbona havioani?
Nikukumbushe kazi ya wabunge siyo kusifia serikali na wala utendaji wa serikali autegemei sifa za wabunge
heading na nilichoandika ndani utofauti wake ni nini?alichofanya yeye ni kusifia serikali kwani ni dhambi!
Sijaeilewa hii habari. Ni skeleton tu, embu jaza nyama kidogo.
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..
Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
Nassari anaipinga serikali inapokosea na pia anaisifia serikali ikifanya vizuri.Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..