Nassari aanika ufisadi wa madiwani wa CCM Arumeru

Naona mmenishambulia sana,wapo waliokossa uvumilivu na kuamua kunitukana lakini niseme tu kwamba watanzania tumekuwa watu wakubeba hoja kisa kasema mwanasiasa,let's be honest tulikofika politician wameanza kuishiwa hoja sasa wanaparamia hoja za ufisadi.. Huyu nasari namshangaa sana jaman maamuzi yalifanyika katika baraza la madiwani,taratibu huwa zipo wazi that majority voice will carry weight on making decision concern mambo ya halmashauri na mambo mengine yanayohusu maswala ya rasilimali.. Technically yale ndo maamuzi yaliyofikiwa..nassari analia nini? Zipo taratibu za kufuata pale inapotokea baraza la madiwani limevunja katiba,kama anaona baraza limemake blunder decision amefanyaje? Alichokifanya ni kuhukumu baadhi ya madiwani ambao I guess anaoona ni obstacle lakini wanasema ni bora kuwasamehe wauwaji 10, kuliko kumhukumu mtu ambaye ni decent... Nassari ndicho alichofanya anachafua watu, ni tabia mbaya sana. Labda ukufike wewe uitwe fisadi on public while you are decent ndio utajua how painful it is.
 
Mbona umekua makali hivyo ?!we lazima utakua ni mmoja kati ya hao madiwani unajalibu kujitetea ili upate public sympathy ,una uhakika gani kwamba hana evidence?

assumptions is the mother of all f***k ups
 
Ayasemayo Nassari ni kweli Kabisa.

Ile Stand wameshindwa hata kuiendesha, mara ya kwanza walilazimisha gari zote za Abiria kuanzia Daladala mpaka mabasi ya mikoani yanayopita Tengeru kuingia stand hiyo ili kulipa ushuru.
Sasa hivi wameshachuma zao wameshindwa tena kuiendeleza Stand imebaki ni mitumba na ndizi zinauziwa humo na ukipita bahati mbaya na Private Car yako unachajiwa ushuru.

Utakuta VX jekundu Land Cruiser Limited limepaki hapo, hela zote anachukua huyo jamaa kwa kupitia huyo dada. Stand inaota tu Majani.

Wanaosema Josh anatafuta sifa waende Tengeru wajionee hakuna hata vyoo safi wakati kina mama wanadaiwa ushuru wakiwa na ndizi kichwani.
 
Naona mmenishambulia sana,wapo waliokossa uvumilivu na kuamua kunitukana lakini niseme tu kwamba watanzania tumekuwa watu wakubeba hoja kisa kasema mwanasiasa,let's be honest tulikofika politician wameanza kuishiwa hoja sasa wanaparamia hoja za ufisadi.. Huyu nasari namshangaa sana jaman maamuzi yalifanyika katika baraza la madiwani,taratibu huwa zipo wazi that majority voice will carry weight on making decision concern mambo ya halmashauri na mambo mengine yanayohusu maswala ya rasilimali.. Technically yale ndo maamuzi yaliyofikiwa..nassari analia nini? Zipo taratibu za kufuata pale inapotokea baraza la madiwani limevunja katiba,kama anaona baraza limemake blunder decision amefanyaje? Alichokifanya ni kuhukumu baadhi ya madiwani ambao I guess anaoona ni obstacle lakini wanasema ni bora kuwasamehe wauwaji 10, kuliko kumhukumu mtu ambaye ni decent... Nassari ndicho alichofanya anachafua watu, ni tabia mbaya sana. Labda ukufike wewe uitwe fisadi on public while you are decent ndio utajua how painful it is.
ulitaka atoe ushahidi sasa ushahidi amesema anao na pia mtoa mada ame-edit post yake akaelezea kwa kirefu zaidi kuhusu ushahidi aliosema nassari...sasa unasema anawachafua madiwani,ndio wanastahili kuchafuliwa kwakuwa ushahidi wa uchafu(ufisadi) wao anao.au unataka ushahidi gani tena..?hoja yako ya ushahidi imepanguliwa unaanza kutapatapa hapa
Wwe kilaza kajipange upya
 
Back
Top Bottom