Mfano Unapenda kuongelea ishu ya Magereza wakati hujawahi kwenda, Jana kwenye mkutano wa hapa Mwanza ulizungumzia kuhusu mateso ya wafungwa walivyokuwa wanakueleza jinsi walivyofungwa kwa kusingiziwa wakati siyokweli kwamba wewe ndiyo ulikuwa magereza bali Alikuwa ni Lema! kwanini unashindwa kusema Na Nukuu kutoka kwa Lema?
Wanajf.
Nimeamua kuja hapa kuweka mambo haya sawa, Kijana wetu na mdogo wetu Nassari alionekanika ni kijana machachari mbele mwa jamii pale anapokuwa jukwaani na sehemu nyinginezo hili halina ubishi kabisa.
Jana na Juzi kulikuwa na mikutano ya CDM Moshi na Mwanza ambayo Dogo janja alihudhuria na kupewa nafasi ya kuhutubia kama mbunge, Naomba niongelee hili la Mwanza maana la Moshi sikuwepo zaidi ya kusikiliza kwenye Redio.
Nassari inabidi uwe wewe kama wewe acha kucopy na kupaste maana unapocopy ni lazima utaje nukuu ya mtu fulani ila wewe unasema kama wewe ndiyo umefanya hicho kitendo wakati siyo wewe, Mfano Unapenda kuongelea ishu ya Magereza wakati hujawahi kwenda, Jana kwenye mkutano wa hapa Mwanza ulizungumzia kuhusu mateso ya wafungwa walivyokuwa wanakueleza jinsi walivyofungwa kwa kusingiziwa wakati siyokweli kwamba wewe ndiyo ulikuwa magereza bali Alikuwa ni Lema! kwanini unashindwa kusema Na Nukuu kutoka kwa Lema? kama ambavyo Lema Anapenda kunukuu Wanaharakati mbalimbali kama steve Biko, Martin Luther nk.. ni Lazima ubadilike utafute mkakati mwingine wa jukwaani wewe ni kiongozi sasa unaongoza jimbo wananchi wako wangependa kukusikia Nassari na siyo Lema.
Najua waweza kwazika ila huwo ndiyo ukweli kuwa wewe kama wewe Level uliyofikia siyo ya kuwa hivyo, Badilika Tunakupenda ndiyo maana tunakuambia ukweli urudi kwenye mstari maana watu makini hukushusha na kusema umebebwa na upepo.... Natumaini salamu hizi zitakufikia na utazisikia.... jiulize kwanini kamanda Mawazo hakopy na kupaste? Samahani lakini..
Tangu akataliwe huyo kilaza na dogo janja kwani alishafika Arumeru???? mkuu acha uropokajima çcm wapi hamna jipya nyie wabunge wenu wanapenda umàrufu wakati hawajui mambo we kama huyo nasari ati alimkataza JK kufikaàrumeru chadema ni kichaka cha wevi
ningependa kupata sababu za msingi kuiondoa hoja binafsi hii. Wakati mwingine ni vizuri kujadili hizi changamoto kwa uwazi na hasa hizi ambazo zinagussa mstakabari wa taifa letu siku zijazo.
Mkuu nadhani sio malalamiko ya kuchafua chama ila ni malalamiko ya watoto wa mkulima wapate elimu bora, uwezo wa kupeleka watoto wetu kwenye hizi shule munazoita za kiingereza wengine hatuna uwezo huo, sasa anapotokea mtu wa kutukumbuka msione kama analalamika kutafuta sifa, nasisi tunahitaji elimu bora kwa wenetu.........kila siku nyinyi tu.Hoja zao zimejaa malalamiko yanayolenga kukichafua chama, hata ungekuwa wewe ungezipiga chini..!
Hujanielewa vizuri, ni sisi chama ndo tumesababisha matatizo uliyoyataja hapo juu, ni sisi chama ndo janga la kitaifa, ni sisi chama ndo tumesababisha nchi kuwa na 90% mambo mabaya with only 10% mambo saafii..! Kumbuka Kigoma kuna majombo 8 ya uchaguzi na 5 ni upinzani 3 yetu, kule kaskazini tafuta uwiano mwenyewe. Sasa tukisikiliza waziwazi hoja za wapinzani 2015 tutaanguka zaidi. What we do ni kuzipiga chini hizo hoja halafu tunazifanyia kazi kimya kimya halafu mwisho wa siku tunasema sisi chama ndo tume-initiate hizo mambo so we deserve credits..!Mkuu nadhani sio malalamiko ya kuchafua chama ila ni malalamiko ya watoto wa mkulima wapate elimu bora, uwezo wa kupeleka watoto wetu kwenye hizi shule munazoita za kiingereza wengine hatuna uwezo huo, sasa anapotokea mtu wa kutukumbuka msione kama analalamika kutafuta sifa, nasisi tunahitaji elimu bora kwa wenetu.........kila siku nyinyi tu.