Chibolo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 5,768
- 8,044
Wanagombania mademuKwani wanagombania nini mkuu?
Wanagombania mademuKwani wanagombania nini mkuu?
Kama anavyofanyiwa bi mkubwa wako🤣Kwa haya mahaba usipoangalia utakuja kufanyiwa nani kwa nyuma na wazungu.
Waulize?Kwani wanagombania nini mkuu?
Nashindwa kuelewa hii vita vya aina gani upo vitani mnapigana na adui na adui akikupiga unalalamika huyu ni monevu ni katili ni muhalifu wa kivita , sijui amevuka mstari mwekunduKiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili
BBC news
Nimeogopa sana [emoji209]
Kwahiyo tunakubaliana Israel bila bwana zake ni mwepesi mithili ya toilet paper?Siku Hezbollah akitangaza vita kamili na Israel ndio siku Dunia itashuhudia ukuu wa Marekani hapa duniani maana ni siku tutayoacha kuitaja Iran kama nchi
Iran kumbe haina kitu na Baunsa wao Urusi wanajipigia tu kule yaani mtu anampa Adui yako silaha na anamfundisha kuzitumia unasema ooh yeye hahusiki..Putin kumbe dhaifu sana watu wameingia kukalia eneo la nchinyake zaidi ya mwezi wanapataje Vifaa kwanini hajawakatia njia za kuingia ili wapigwe njaaa awavurumushe kama kuku.???Siku Hezbollah akitangaza vita kamili na Israel ndio siku Dunia itashuhudia ukuu wa Marekani hapa duniani maana ni siku tutayoacha kuitaja Iran kama nchi
Wana mistari mingapi Kwani???Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili
BBC news
Nimeogopa sana 🐼
Unaropoka ukiwa wapi??Siku Hezbollah akitangaza vita kamili na Israel ndio siku Dunia itashuhudia ukuu wa Marekani hapa duniani maana ni siku tutayoacha kuitaja Iran kama nchi
Iran ameshindwa wapi??Mmh, sasa hao Querrila war watafanya nini sasa?
Iran wameshindwa sembuse ka kikundi tu?
Mungu hajawahi kudanganyaHuo
Pamoja na huo mstari Israel ilishapigwa sana na kuchakazwa kwa Nyakati tofauti. Makabuila 10 ya Israel yalipigwa na kuchukuliwa utumwani na Washami (Wasyria) hadi leo hawajulikani walipo (The Lost tribes of Israel till today). Baadaye Ufalme wa yuda (ukiwa na makabila mawili ya Yuda na Benyamini) walichakazwa na Babeli na kukaa utumwani kwa mamia ya miaka. Mwaka 70 baada ya Kristo Jenerali Tito wa dola ya Rumi aliwapa kitu cha haja hadi wakapoteana kwa miaka karibia 2000 hadi hapo mwaka 1947 waliporudishwa hapo palestina kwa Maslahi ya Marekani na UK. Kabla ya kitu alichowafanyia Hilta wayahudi waliokuwa Ujerumani hamna rangi waliacha kuiona.
Kwa hiyo kwa vile hao watu kwa kitu haki ni msamiati mgeni; hawana cha tofauti na binadamu wengine duniani na hao wanaojitutumua hapo mashariki ya Kati ni kwa hisani ya Marekani kwa maslahi mapana ya mafuta na gesi katika eneo la Mashariki ya kati. Subiri mafuta na gesi ziishe Mashariki ya kati kama hilo Taifa litaendelea kuwepo maana muda huo USA na washirika wake hawatakuwa na maslahi na hilo Taifa wakati huo.
Mungu yupi? kwani hivo vichapo mimi nimetunga?? au husomi hiyo Biblia yako??Mungu hajawahi kudanganya
Usimfanye kuwa muongo
sisihezbollah tupo tayari kwa vita kamili mpk ushoga ukome dunianiKiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili
BBC news
Nimeogopa sana 🐼
Kumbe vita inamashabiki huku tanzania aisee hii kaliUnaropoka ukiwa wapi??
2006 mbona Hizbollah ilitangaza vita kamili Israel??
Mbona Israel ilipigwa kiasi USA akawaita mezani kumuokoa Israel?
Shida watoto wa juzi historia hamjui mnaropoka tu.
Wewe huna ujualo vita vina nidhamu zake kutokana na sheria za kimataifa, uko ufipa utajuaje mambo haya, tulia ushuhudie Myahudi atakavyoumizwaKila siku wanavuka kwani huo mstari upo wapi
Putini anazuiwa ni sheria za kimataifa kutokutumia nuclear japo anatishia tishia, ww hufahamu lolote unadhan silaha uliyonayo asubuhi unaamka nayo na kuangamiza watu au nchiKila siku wanavuka kwani huo mstari upo wapi
Walokole mna shida sana😃Siku Hezbollah akitangaza vita kamili na Israel ndio siku Dunia itashuhudia ukuu wa Marekani hapa duniani maana ni siku tutayoacha kuitaja Iran kama nchi
Kwa hiyo wewe ulivyoandika hivyo tu ndiyo unajua tayari mambo ya kimataifa na kivita?Usipojua mambo ya kimataifa na kivita nyamaza mkuu.