Nasrallah: Israel Wamevuka mstari mwekundu

Nasrallah: Israel Wamevuka mstari mwekundu

Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili

BBC news

Nimeogopa sana 🐼
Hakuna cha kuogopa hapo. Huyu Nasrallah ni kwala tu.Anajua IDF ni moto wa kuotea mbali kwake na vibaraka wake wa Iran na Hamas. Technology led hawawezi kufurukuta. Hata hizo bunduki na mabomu yatawalipukia mikononi kama vile vifaa vyao wa mawasiliano. Na hata sasa hata hizo taa za Solar nazo zimelipuka kwa wakati mmoja nakuuwa wanachama wao zaidi. So hawana ujanja, Wataponea wapi eti wakwepe kutumia vifaa vya electronic. IDF wakitaka wanaweza kuibgilia mdumo wa umeme Bulb zote zikawalipukia Hezbollah huko vyumbani na sebuleni mwao. Halafu anatokea mtu kwetu eti wa kutunishiana misuli nao akina Uncle Sam, Ogopo Science hata kama nyie mlikuwa mnaichukia huko mashuleni kwenu. Tusiogope ila tuwaheshimu tu.
 
Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili

BBC news

Nimeogopa sana 🐼
Mmh, sasa hao Querrila war watafanya nini sasa?

Iran wameshindwa sembuse ka kikundi tu?
 
Back
Top Bottom