BoyOfGod
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 1,256
- 1,811
Wakasome Yeremia 1:19 kabla ya kupigana na israel
Oooh
Jeremiah 46:27-28
Lakini usiogope wewe mtumishi wangu; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, WALA HAPANA MTU ATAKAYEMTIA HOFU.
Usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema BWANA; kwa maana mimi ni pamoja nawe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokufukuza, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.