Nasrallah: Israel Wamevuka mstari mwekundu

Nasrallah: Israel Wamevuka mstari mwekundu

Iran ameshindwa wapi??
Kwani Iran aliwahi kupigana na Israel?
Na ikitokea Israel hatosimama hata mwezi.
Unaizungumzia Iran iliyopigana vita ya miaka 8 pasi na kupumzika.
Je Israel ina hiyo historia??
Si walishambulia kwa Drones 300?
 
Putini anazuiwa ni sheria za kimataifa kutokutumia nuclear japo anatishia tishia, ww hufahamu lolote unadhan silaha uliyonayo asubuhi unaamka nayo na kuangamiza watu au nchi
🤣🤣🤣🤣nilidhani una mpya kumbe chenya tu..
By the way nuclear inatumia theory ya chain reaction na limetumika mara moja tu huko japan ...
Radioactive material kama uranium hutumika kuunda ina-partical tatu kuu beta, gamma na alpha rays hizo ni hatari sana maana zinahariri mfumo wa DNA kwa miaka mingi...

Lakin lebanon hakuna bom la nyuklia limetumia na Hezbollah hawana na hawezi kupata bomu hilo
 
Ivi wewe una ukaali Hezbollah kwani silaha anapata kutoka wapi? Si mulisema Hamas ni kikundi kidogo hakina silaha wanatumia manati sasa mwaka umeisha, Iran ndio mastermind na anazo nuclear kuliko huyo mumeo LGBTQ
 
Unaropoka ukiwa wapi??
2006 mbona Hizbollah ilitangaza vita kamili Israel??
Mbona Israel ilipigwa kiasi USA akawaita mezani kumuokoa Israel?
Shida watoto wa juzi historia hamjui mnaropoka tu.
achana na habari za kizamani,hizbula alichofywa mwaka huu na myahudi hatakaa akamsahau jamaa..nasraha ameishia kua mtoa matamko tuu itabidi tumuunge kwenye bendi ya taarabu ya bi hadija kopa
 
Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili

BBC news

Nimeogopa sana 🐼
Unaogopa nini wewe endelea kuvaa sare ya Lumumba huku ukimsifia huyo mama
 
Ivi wewe una ukaali Hezbollah kwani silaha anapata kutoka wapi? Si mulisema Hamas ni kikundi kidogo hakina silaha wanatumia manati sasa mwaka umeisha, Iran ndio mastermind na anazo nuclear kuliko huyo mumeo LGBTQ
Usinihusishe na vita.
Mimi naamini ufalme wa Yehova ndio solution ya matatizo yote nao utaondoa wale wote wanaosababisha vita..
Na siamini unafiki wa mapatano

Je, Amani ya Ulimwengu Itapatikana kwa Mapatano?
 
achana na habari za kizamani,hizbula alichofywa mwaka huu na myahudi hatakaa akamsahau jamaa..nasraha ameishia kua mtoa matamko tuu itabidi tumuunge kwenye bendi ya taarabu ya bi hadija kopa
Ila jamaa ni wababe hasa. Ka-nchi kadogo ila kametuliza ukanda wote. Hakuna anayekohoa.
IMG_20240921_110628.jpg
 
Mungu yupi? kwani hivo vichapo mimi nimetunga?? au husomi hiyo Biblia yako??
Tangu wamkatae Yesu hakuna kitu kinaitwa Taifa Teule la Israel pale Mashariki ya kati. Ni tamko la Yesu mwenyewe kwamba kwa kuwa wamemkataa basi ufalme umeenda kwa mataifa.

Pale Taifa bandia la Isreal ya leo pamejaa mamluki wa nchi za Kipepari kwa lengo la ku distabilize amani ya Mashariki ya kati ili Mabepari waendelee kuiba rasilimali za mafuta na gesi za nchi za mashariki ya kati. Hamna Taifa la Mungu pale, ndo maana unaona wana hadi siku ya maadhimisho ya wanaume kupigwa mashine nyuma kwa mwaka.
Basi Kama Mungu hayupo pale
MUNGU anashindwa coz hayupo israel yupo upande wa wapinzani
 
Wakasome Yeremia 1:19 kabla ya kupigana na israel
Oooh

Jeremiah 46:27-28
Lakini usiogope wewe mtumishi wangu; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, WALA HAPANA MTU ATAKAYEMTIA HOFU.
Usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema BWANA; kwa maana mimi ni pamoja nawe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokufukuza, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.
Mimi Kwa kujua hayo nakaaga kimya tu mkuu, Israel ni Zaid ya taifa ila wengi hii siri hawaijui
 
Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili

BBC news

Nimeogopa sana 🐼
Aliyesema wamevuka mstari sasa hv wanamfukua kwenye kifusi kumtafuta
 
Back
Top Bottom