Nasoneshwa na Ugonjwa nisioujua

Nasoneshwa na Ugonjwa nisioujua

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,587
Reaction score
466
Ndugu zanguni naombeni ushauri wa kitalamu...

Mimi namawazo sana nikipima sina UTI ila nikifanya Mapenzi kwa mwanamke yoyote nikimaliza tendo lazima mwanamke alalmike kuumia tumboni au maumivu, huu ni mwezi wa sita sasa na jikuta nawaza sana tatizo itakuwa nini?

Naombeni msaada.
 
ila nikifanya Mapenzi kwa mwanamke yoyote nikimaliza tendo lazima mwanaume alalmike....hapo pamekaaje
 
Yeye akifanya mapenzi na mwanamke yoyote mwanaume analalamika kuumwa kuono,
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mkuu huenda ukawa huna ugonjwa wowote unaokusumbuwa,
Pengine tatizo ni ulemavu wa maumbile ya dushe uliyonayo.

Huenda dushe lako wakati wa kufanya mapenzi linagusa hadi kwenye kitovu cha mwanamke ,

Jaribu kupata ufumbuzi wa size ya dushe lako..

Kama kuna uwezekano uwekewe Pete ya kikomo cha kuzamisha..
 
Nimesahihisha
Nimesahihisha
Sijaelewa hata...

Labda Mdada yuko na Ugojwa huko...Unaopelekea Maumivu kwa hao anaokutana nao.."Labda"

Au wewe uko na Mtazamo tofauti Shem lake?
emoji2.png
 
Mkuu huenda ukawa huna ugonjwa wowote unaokusumbuwa,
Pengine tatizo ni ulemavu wa maumbile ya dushe uliyonayo.

Huenda dushe lako wakati wa kufanya mapenzi linagusa hadi kwenye kitovu cha mwanamke ,

Jaribu kupata ufumbuzi wa size ya dushe lako..

Kama kuna uwezekano uwekewe Pete ya kikomo cha kuzamisha..
Mkuu na ya kawaida ,ila nikifanya tumbo linamuuma sana mpaka anaweza kuugua , linasogota sana kama mtu anaeingia period
 
Ndugu zanguni naombeni ushauri wa kitalamu...

Mimi namawazo sana nikipima sina UTI ila nikifanya Mapenzi kwa mwanamke yoyote nikimaliza tendo lazima mwanamke alalmike kuumia tumboni au maumivu, huu ni mwezi wa sita sasa na jikuta nawaza sana tatizo itakuwa nini?

Naombeni msaada.

Acha mapenzi
 
Back
Top Bottom