Nasoneshwa na Ugonjwa nisioujua

Nasoneshwa na Ugonjwa nisioujua

Ndugu zanguni naombeni ushauri wa kitalamu...

Mimi namawazo sana nikipima sina UTI ila nikifanya Mapenzi kwa mwanamke yoyote nikimaliza tendo lazima mwanamke alalmike kuumia tumboni au maumivu, huu ni mwezi wa sita sasa na jikuta nawaza sana tatizo itakuwa nini?

Naombeni msaada.
Huyo mwanamke ana Gono linamtafuna kwenye kizazi kama halijakupata mwambie mkapime

Au ni wanawake wangapi limewatokea ukishafanya?
 
Acha zinaa, kapime una tatzi ambalo linapeleka kuwaambukiza hao wazinifu wenzio maradhi,
Au kiwiko (kichwa) cha uume wako kimechongoka isivyo kawada kina ncha kali kama ya kalamu ya speedo, pia yawezekana Uume wako una pingili kama uume wa mbwa,
Au hujui kumuandaa mwanamke mpaka akatoka maji/utelzi mwingi unaochirizika,wwe ukishadindisha tu unachomeka, hapana usiwe kama punda,
Acha zinaa,ohooo
 
Hilo ni chango. Maana yake unapofanya mapenzi unawaambukiza wanawake,sema ni wanaume wachache sana ambao wana chango mara nyingi wanawake wengi ndiyo huwa na chango na huwaambukiza wanaume bila kujua,hata wewe yawezekana ulilitoa kwa mwanamke.Kadri muda unavyokwenda utakuja kuona maumivu yanakurudia wewe! Maumivu ya tumbo la chini,Tumbo kuunguruma,maumivu ya kiuno na korodani huambatana na chango hilo.Usipotibiwa kikamilifu inaweza kusababisha kukosa nguvu za kiume.Tiba zake ni dawa za asili za mitishamba.Kuwa makini.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna uwezekano una maumbile marefu jitadhimini, kama ndivyo chukua tahadhari wakati wa tendo hilo kwani hata mimi nilikua nalalamikiwa na nikachukua uangalifu ili nisimuumize mwenza. Ikiwa pamoja nakuacha baadhi ya mikao kama namba 7 na inayofanana na hiyo ambayo inalazimisha miguu kuja usawa wa tumbo akiwa amelala chali pia kuacha kuweka mto chini ya kiuno wakati wa tendo. Kama shida sio hiyo usisite kuweka wazi tuangalie suluhisho la kweli.
 
Back
Top Bottom