Nasomaje Advanced chemistry?

Nimesoma PCB chemistry ndiyo somo sikuwa na wasiwasi kabisa. Yaani ilikuwa kama napumzika kusoma chemistry ..Kwanza ina content ndogo ukilinganisha na hao wababe wawili ( physics& Biology)
Biology unaiitaa MBABE asee kila mtu na mnyonge wake Hilo SoMo kwangu easy sana ila physics mhh
 
Anza na general chemistry, isome yote vizuri itakupa mwanga wa kuaendea mengine. Soma salt base and acid au anza na pyhsical chemistry kabla ya salt. Soma inorganic chemistry hasa topic ya soil. Baadae maliza na organic chemistry usome hizo benzene reaction. Jipe muda unaposoma, usiluke mada, kuna wakat utaona inorganic nikama general chemistry vinaingiliana, hivyo hakikisha unasoma topic moja moja bila kuhangaika nazingine. Kuna presha ya wasoma tution, mtu anakusumbua na topic za mbelen anakutoa kwenye focus au mtu abakufunza kitu kigumu kabla ya chepesi. Anza na general, acid salt and base kisha inorganic na maliza na hizo mbili za mwisho physical na organic maana huwa ngumu kidogo kwa wagen wa kemia hasa physical kama hesabu hauko vzri.
 
Golden points
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…