NASOMA CHUO KIKUU St. Augustine

NASOMA CHUO KIKUU St. Augustine

wiseman mic

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
17
Reaction score
4
Natafuta kazi ya mda huu wa miezi miwili ninasomea BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION, lakini nina ujuzi wa computer (typing and internate skills) ningefrai kama ningepata kazi hizo au kama kuna za ziada nipo tayari pia.
Namba zangu ni
0758 018597
 
"Mda" ndio kitu gani ? Halafu unataka kazi . "Internate" wewe kazi hupati nyie ndio mliopitishwa na GPA za kupikwa. Halafu utakuwa mwanachama wa CCM
 
Acha uvivu, zunguka pita ongea na watu live, msiwe mna underestimate the power of talking to someone face to face. Kuomba kazi kwa style hii utapata watu ambao hawako serious, watu wanaotafuta watu ambao ni desperate kwa hiyo inakua inawapa sana advantage ya kukumanipulate wanavyotaka. Njia kama hizi ndo maana wadada mwisho wa siku wanaombwa watoe mzigo. This is the worst way of looking for a job. Worst... Please stop
 
Ndio hawa wa kupigia kura Chama fulani huu ni muda mwafaka kama unauchungu na ajira jiandae kupiga kura usome elimu bure mpaka huko uliko Chuo kikuu ili usisumbuke kupata hela ya ada na kusumbuka sisi watoto wa masikini ndio tunaokwamisha mabadiliko chumvi na khanga unauza kura tuhamasishane sasa inatosha.
 
da mkuu uandishi wako tu tatizo, kingereza shida kiswahili shida
 
Internet sio Internate..kuna watu zaidi ya milioni wana degree hawana kazi..soma kwanza
 
..,so kama upo SAUT tufanyajee...ila aseee sio kwa kingledha icho aseeeee...
 
Huyu ndio Katigula au Maziku anakufundisha kuandika dizaini hii? teh teh

Ni aibu kwa msomi kama wewe!!
 
Kupitia JF kuna watu tumepevuka sanaa...shukrani kwa wote wenye uthubutu wa kurekebisha tabia...
 
Kwisha habari yako! Nani atakuja kufanyiwa kazi na kilaza kama wewe! Nina wasiwasi na ufaulu wako... kazi zipo ila hatukutaki....
 
Ha ha ha


Daah pole mkuu mleta mada hawa ndio wanaJF wenyewe.Next time ujitahidi kuandika vizuri au kama ni mgeni chukua mwezi mzima kusoma tu kabla hujapost
 
"Mda" ndio kitu gani ? Halafu unataka kazi . "Internate" wewe kazi hupati nyie ndio mliopitishwa na GPA za kupikwa. Halafu utakuwa mwanachama wa CCM


hahahahahahahahahahhahahahahahahahaa:suspicious::bump2: ukiona mwenzio hapati kazi ujue kuna mengi yanasababisha....yani me nilishawahi kudahili watu, Kuandika barua ya Maombi ya Kazi tu huwadisqualify watu.
 
Natafuta kazi ya mda huu wa miezi miwili ninasomea BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION, lakini nina ujuzi wa computer (typing and internate skills) ningefrai kama ningepata kazi hizo au kama kuna za ziada nipo tayari pia.
Namba zangu ni
0758 018597

Weka picha yako
 
Back
Top Bottom