Wakat nilipokua nasoma ordinary level nilikua member wa club ya FEMA....Na miongoni mwa mafundisho tuliokua tukipewa/tukiyapata kwenye machapisho yao[emoji5]..yanasapot kupiga puri huku wakinena kuwa mwanafunz piga puri haina madhara/hatar yyt kwa afya yako...yan PURI imethibitishwa Na ..........[emoji467][emoji467][emoji467][emoji467][emoji467]kwamba haina athari yyte