Naskiaga tu kuna madhara ya puli!

Naskiaga tu kuna madhara ya puli!

alvin1995

Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
34
Reaction score
12
Naomben kuuliza nan ana ushahid au alisha pata tatizo 7babu ya puli ( mgalala)?
 
Rafiki inamadhara sema sio ya haraka,kwani ni zaidi ya madawa ya kulevya..

mwanza kwetu
 
piga kamanda ....piga haina shida......unadownload hata avata ya bidada yeyote mkuuu.....pigaaaaa....hisia tuu...hahaahahaaaaaaaaaaaa....mpaka mkono upate mimba.......
Hahahaha dah
 
Mwenye dawa ya hii chaputa maana demu unae lkn uroho tu wa puli
 
Wakat nilipokua nasoma ordinary level nilikua member wa club ya FEMA....Na miongoni mwa mafundisho tuliokua tukipewa/tukiyapata kwenye machapisho yao..yanasapot kupiga puri huku wakinena kuwa mwanafunz piga puri haina madhara/hatar yyt kwa afya yako...yan PURI imethibitishwa Na ..........kwamba haina athari yyte

Vodakom-KAZI NI KWAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea tena fanya kama dozi ya ARVs, baadye fanya mfululizo ili upate majibu mubashara kabisa.
 
Back
Top Bottom