Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote kinachoharibika.
Ingefikia kipindi ratiba za mechi zingekuwa zinabadilishwa kiholela tu bila sababu za msingi. Mfano, ungekuta siku nyingine mechi ya timu A na timu B inaahirishwa/inasogezwa masaa mbele kwa sababu tu uwanja haujajaa kwa muda huo...au ungekuta siku nyingine watu na timu zipo uwanjani halafu mechi inasogezwa muda mbele ili kupisha tu hotuba au kikao cha watu fulani au labda mechi zingekuwa zinaahirishwa kwa sababu tu kuna dalili mvua itanyesha.
Kiufupi, ingefikia stage mechi zingekuwa zinasogezwa mbele kwa sababu zisizo na mashiko. Lakini leo Yanga wameonesha kuwa uswahili hautakiwi na hawajataka kabisa kulea tabia hii.
Ningewakosoa Yanga endapo tu sababu za kusogeza mechi mbele zingekuwa na mashiko lakini mpaka sasa sababu hazijawekwa wazi. Endapo kama sababu zingekuwa zimewekwa wazi na zina mashiko, hakuna mtu au timu ambayo ingekataa kucheza saa 1. Kutokuwekwa wazi kwa sababu za kusogeza mechi mbele inatufanya sisi tuamini kuwa sababu hazikuwa na mashiko ndio maana zimefichwa...ASANTENI YANGA.
Mechi yenu na Azam mbona ilisogezwa imebaki lisaa moja Kuna tofauti gani na hiiMkuu usiwe shabiki maandazi. Unapoona hili jambo halifai kwa maendeleo ya soka letu unatakiwa kukemea kwa nguvu zote, sio lila jambo unaleta ushabiki wa kipuuzi.
Walichofanya TFF ni sahihi sio sahihi? Hiyo game ya Azam taarifa ya kupostpone ilitoka muda gani?Mechi yenu na Azam mbona ilisogezwa imebaki lisaa moja Kuna tofauti gani na hii
Tatizo kuna watu wanafatilia soka kwa taarifa za vijiwe vya kahawa na draft kisha hawafanyi utafiti wanazibeba kama zilivyo.Mechi ya Azam ilitolewa taarifa siku tano kabla ya mechi
Yanga vs Biashara ilkuwaje? Vipi na ile ya Yanga vs Azam?Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote kinachoharibika.
Ingefikia kipindi ratiba za mechi zingekuwa zinabadilishwa kiholela tu bila sababu za msingi. Mfano, ungekuta siku nyingine mechi ya timu A na timu B inaahirishwa/inasogezwa masaa mbele kwa sababu tu uwanja haujajaa kwa muda huo...au ungekuta siku nyingine watu na timu zipo uwanjani halafu mechi inasogezwa muda mbele ili kupisha tu hotuba au kikao cha watu fulani au labda mechi zingekuwa zinaahirishwa kwa sababu tu kuna dalili mvua itanyesha.
Kiufupi, ingefikia stage mechi zingekuwa zinasogezwa mbele kwa sababu zisizo na mashiko. Lakini leo Yanga wameonesha kuwa uswahili hautakiwi na hawajataka kabisa kulea tabia hii.
Ningewakosoa Yanga endapo tu sababu za kusogeza mechi mbele zingekuwa na mashiko lakini mpaka sasa sababu hazijawekwa wazi. Endapo kama sababu zingekuwa zimewekwa wazi na zina mashiko, hakuna mtu au timu ambayo ingekataa kucheza saa 1. Kutokuwekwa wazi kwa sababu za kusogeza mechi mbele inatufanya sisi tuamini kuwa sababu hazikuwa na mashiko ndio maana zimefichwa...ASANTENI YANGA.
Kakuuliza vp katika ile mechi ya Yanga vs Azam?. Yanga vs Biashara ilkuwaje?Kanuni zimevunjwa unashangangilia?we mikia nani umfunge?hii ishu imewaepushia kipigo
Yaani mechi kusogezwa mbele kwa masaa 2 ndio kunaathiri maendeleo ya soka?Mkuu usiwe shabiki maandazi. Unapoona hili jambo halifai kwa maendeleo ya soka letu unatakiwa kukemea kwa nguvu zote, sio lila jambo unaleta ushabiki wa kipuuzi.
Kulikuwa na taarifa mbili zilizotolewa kusogeza muda wa game ya uto na azam; ya kwanza ilikuwa hiyo iliyotoka siku 5 kabla ya mchezo, ilisogeza muda kutoka saa 10 jioni kwenda 1 usiku, ya pili ilitolewa siku ile ile ya mchezo ikisogeza muda kutokea saa 1 jioni kwenda 2 na robo usiku.Mechi ya Azam ilitolewa taarifa siku tano kabla ya mechi
Lete lalamiko lingine , angalia taarifa zimetolewa tarehe ngapi kwanzaMechi yenu na Azam mbona ilisogezwa imebaki lisaa moja Kuna tofauti gani na hii
Inategemea na akili yako jinsi inavyochanganua mambo.Yaani mechi kusogezwa mbele kwa masaa 2 ndio kunaathiri maendeleo ya soka?