Ahsante kwa kunielewa mtoto mzur !! Au hupend kuitwa toto ??Na nisipoonekana kabisa ndo watoto watalelewa nami? Sawa ngoja niache
SawaAhsante kwa kunielewa mtoto mzur !! Au hupend kuitwa toto ??
Huyu si wakuoa, ni kula bata tuHata kama ni wewe ungeoa kweli. Zigo kama hili ni la ku-buy time ili maisha yaendelee.
View attachment 2225623
Ashtakiwe kwa makosa ya kukushtua moyo wako.Naunga mkono hoja....
View attachment 2225630
Kujadili upuuziMkuu, kwani kosa la mleta uzi ni lipi hasa..??
Umeshalewa dengelua mixer boha!Tuliza roho.Vitu vidogo unataka upigane na mleta uzi!Kujadili upuuzi
sio unafiki. Tunawapenda sana ila linapokuja swala la kuoa tunakuwa makini zaidi maana ndoa haiishii kitandani na kwenye show off tu. Tuna jaribu kuwapatia zawadi watoto wetu Kwa kuwachagulia mama bora na sio mke wa babaWanafki sana hawa jamaa
Chombo ya kusuuuzia mkuyenge hiyo sio yakuweka ndani hata kidgoHata kama ni wewe ungeoa kweli. Zigo kama hili ni la ku-buy time ili maisha yaendelee.
View attachment 2225623