Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,445
Fursa muhimu imepotezwa na viongozi wetu.
Kuwaleta wale katika EAC baadaye, gharama itakuwa kubwa sana. Kwa jinsi officials wa Wizara ya mambo ya nje walivyokuwa wanaongea,ni bahati kwamba hata hiyo S Sudan ilifanikiwa kuingia EAC.
Ulaya,hasa nchi za Scandinavia, zinapinga uwepo wa majeshi ya kigeni Somalia.
Kama majeshi yanahitajika to keep off Al Shabbab, basi Al Shabbab ndio viongozi halali wa Somalia.