Hao vilaza wanaookotezwa mitaani ndio madhara yake ,kwanza hicho kiredio kiko.local sana pamoja na tv yakeMoja y sifa nzuri ya mwanahabari ni kusoma uwezi kuwa mwanahabari mzuri upendi kujisomea.
Uwezi kuwa mtangazaji mzuri ambae upendi kusikiliza vyombo vingine vya habari
Sasa najiuliza kweli Leo ni siku ya nane nane kitaifa, na kitaifa unafanyika mkoani mbeya uwanja wa mwakangale.
Mtangazaji WA redio free Africa anajua Leo ni nane nane na kitaifa inayika mbeya na anataja mahali inapofanyika lakini hajui mgeni rasmi ni Nani anae funga maonesho hayo.
Huyo mtangazaji ni WA kiume,yaani ameingia studio hajui hata Rais WA nchi Jana amelala wapi?
Nauliza ule mswada WA habari ulio taka walai mwanahabari awe na diploma ulitupiliwa mbali au ndo hiyo Sheria ilipitishwa na kilaza msimamia vilaza?
Hii no aibu Kwa taifa.
Rais anagawa bandari na misitu yetu Kwa Wajomba.Siyo hajui ila hataki tu
Isiwe tu ila kanisa wanaokataza wamama kuvaa nguo muhimu !Nmeweka picha yako madhabauni nasubiri majibu ya mtumishi wa Mungu Mzee wa fukayowere hapo kenya
Huyo ni wa Mwanza.Nikupe Siri tuu hata kwenye TV nae kaxhapia,mmmm,kiukweli wewe unatakiwa ujue nchi hii watu Wana chuki kupita kiasi,kuna watu wako hapo jijini Mbeya na bado wanaamini Mbeya sio kitu,nimejituliza lakini pia nimejikausha,na wewe pia ungejikausha wala usingepata majoto.Moja y sifa nzuri ya mwanahabari ni kusoma uwezi kuwa mwanahabari mzuri upendi kujisomea.