Nasikia wadudu huwa wanaongeza hamu ya tendo. Je ni kweli wakuu?

Nasikia hata machungwa
IMG-20191211-WA0094.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia wadudu huwa wanaongeza hamu ya tendo,Je ni kweli wakuu?
Hapa nilipo nipo na ndoo nzima natafuna senene....kitakachonitokea sijui. Kama una kitu kingine cha kunishauri kuhusu tendo,tema cheche uwanja ni wako.
NB:
Maisha ni haya haya hakuna mengine
Hata kumbikumbi nao fresh
 
Jongoo ndio wanaongeza hizo nguvu mara dufu, tena kwa muda mfupi.
Tafuta jongoo wale wakubwa kabisaaaa, mvunje katikati kunywa yale majimaji yake.
Usisahau kuleta mrejesho mkuuj
 
Back
Top Bottom