MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Ninavyofahamu mimi, Rais anayefuata baada ya JK ni Edward Lowassa.
Upo CCM kwa ajili ya mtu fulani au sera na itikadi ya chama?
Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!
Ninavyofahamu mimi, Rais anayefuata baada ya JK ni Edward Lowassa.
Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!
Bora apitishwe pinda au wasira ili upinzani upite bila kupingwa
Wassira is my President to come 2015.Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!
Wassira is my President to come 2015.
Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!
Ninavyofahamu mimi, Rais anayefuata baada ya JK ni Edward Lowassa.
dream on a day,itakua ni tija kwa bodi ya utalii (just thinking)