Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije litutukane chichat bila sababu, nyie wana wa kutoka pachafu mnaokuja kututukana hapa chichat eti hatuna akili jiandaeni kuvaa suruali pana bila kufuli,ku....la mafyampuzi yenu.
Naunga mkono hoja,tena naingia na miguu yote.
Angalia usije zama mzima mzima!lol!
Bishanga kama vipi wapotezeiyeeeeeee!! they dont worth your efforts!
madhara kuogea mkojo wa nyati!! unawashwa kila mahali haswaaaa masaburi, achana nao Bishanga!Si unaona serikali imewekeza mabilioni kuwaondoa kunguru wa dar,acha niwekeze,ujue nini cacico,wanatufanyia makusudi baada ya kuona jukwaa la chitchat linaimarika,halafu ujue hakuna jukwaa rahisi ku break barriers kama chichat,kuna watu kinawauma.
We subiri,ku...lamabembesi!wana midomo wakiifungua utadhani wamefungulia mfuniko wa choo passport size.