Nasikia harufu ya Chid Benz kurudi tena kwenye chat

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,261
27,621
God bless.

Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu.

Huyu ndio Chidy tulie mjua.

Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya Chidy kwenye hilo Goma kama ni mchezaji basi we Pacome.

Simu ziite simu ziite.

# Maurine sio mtamu kama Chiku
 
Chid ni yule yule, mkali siku zote, shida unga, aache unga mtamuona chid yule yule wa mashaallah, daresalaam stand up n.k.

Alikuja na muda ft q chief, mbona ngoma ilikuwa kali tu, shida unga, aache madawa, ndioa adui wake.
 
sijapemba video ni kama inahamasisha uvutaji wa unga pia matumizi ya lugha zenye ukakasi ni mwingi
 
Chid ni yule yule, mkali siku zote, shida unga, aache unga mtamuona chid yule yule wa mashaallah, daresalaam stand up n.k.

Alikuja na muda ft q chief, mbona ngoma ilikuwa kali tu, shida unga, aache madawa, ndioa adui wake.
Ataacha tu tuseme Insha'allah
 
kurudi ngumu sanaa na haiwezekani aisee....!! aendelee kujitafutaa apate show mbili tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…